Dhana ya kuhamishia vijana kalenga ni nini?

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
375
Ni wazi kwamba vyama vyote vya siasa vinavyosomba vijana kutoka mikoa mbalimbali kuelekea eneo linakofanyika uchaguzi mdogo ni ishara na ushahidi wa kuwa havikujipanga kueneza chama katika eneo hilo tangu awali, au ni dharau kwa wanachama wa eneo husika kwanini wachukue watu toka mikoa mingine kuwaleta kalenga au kwingineko wawe mawakala kama sio kufuja mali za vyama vyao?

Hii ni dalili za utovu wa nidhamu kwa wanachama au ishara ya kutokuwa na wanachama waliofundika katika eneo husika

Vyama yabidi viwafundishe wanachama wao kujitegemea sio katika kuwanyima ruzuku tu huko mikoanai bali hata kujisimamia katika masula haya pia

NI MOJA YA TABIA ZINAZONIKERA KULIKO ZOTE
 
CHADEMA pesa za camoroni huyu anayesifia mambo mu7 aliyoyakataa wamebeba magari ya kutosha Arusha pamoja na vijana kuwapelekau huko
 
Huna lolote ! Njaa itakudhalilisha sana mwaka huu , tulikuonya sana kwamba usitumike kama mop lakini ulipuuza , UTATEMBEA PEKU HADI UTOKE MAKENYA !
 
CHADEMA pesa za camoroni huyu anayesifia mambo mu7 aliyoyakataa wamebeba magari ya kutosha Arusha pamoja na vijana kuwapelekau huko

achana na cdm wewe mchumia tumbo , uko TANDALE eti unajifanya uko ARUSHA ! UNADANGANYA ILI IWEJE ?
 
Wale vijana wa serengeti, Bunda, Butiama ,Rorya waliopelekwa leo na CCM ndio unawazungumzia au?
 
Ni wazi kwamba vyama vyote vya siasa vinavyosomba vijana kutoka mikoa mbalimbali kuelekea eneo linakofanyika uchaguzi mdogo ni ishara na ushahidi wa kuwa havikujipanga kueneza chama katika eneo hilo tangu awali, au ni dharau kwa wanachama wa eneo husika kwanini wachukue watu toka mikoa mingine kuwaleta kalenga au kwingineko wawe mawakala kama sio kufuja mali za vyama vyao?

Hii ni dalili za utovu wa nidhamu kwa wanachama au ishara ya kutokuwa na wanachama waliofundika katika eneo husika

Vyama yabidi viwafundishe wanachama wao kujitegemea sio katika kuwanyima ruzuku tu huko mikoanai bali hata kujisimamia katika masula haya pia

NI MOJA YA TABIA ZINAZONIKERA KULIKO ZOTE

kunywa sumu ufe!!! njaa inakusumbua tu mwe,hu wewe!!!!
 
maandamano ya masalia na wasaliti uliyoahidi yamefikia wapi???? vp na zile dvd,zimefia wapi????? mtahangaika sana lakini kwisha habari yenu!!!!!
 
nyakarungu utatangatanga na vyama na upambe sana na unafki wako eti unajidai mazalendo
 
Ni wazi kwamba vyama vyote vya siasa vinavyosomba vijana kutoka mikoa mbalimbali kuelekea eneo linakofanyika uchaguzi mdogo ni ishara na ushahidi wa kuwa havikujipanga kueneza chama katika eneo hilo tangu awali, au ni dharau kwa wanachama wa eneo husika kwanini wachukue watu toka mikoa mingine kuwaleta kalenga au kwingineko wawe mawakala kama sio kufuja mali za vyama vyao?

Hii ni dalili za utovu wa nidhamu kwa wanachama au ishara ya kutokuwa na wanachama waliofundika katika eneo husika

Vyama yabidi viwafundishe wanachama wao kujitegemea sio katika kuwanyima ruzuku tu huko mikoanai bali hata kujisimamia katika masula haya pia

NI MOJA YA TABIA ZINAZONIKERA KULIKO ZOTE

Ndugu zangu njaa ni mbaya na usipoidhibiti unakufa masikini.
 
Back
Top Bottom