Dhana ya hunipendi, unataka kunichezea tu!

elishaezekiel

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
563
1,461
Hahahaaaa!

Wonders shall never cease for the Naive.

A wise man has eliminated surprise in his life.

Stay away from female manipulation

Kupitia hiyo kauli unaweza jitutumua na ukajiidentify nayo na kwa kustaajabisha kabisa ukaanza kuiishi...at your lose and... the gain of another ( ke)

Youngmen muwe makini... sisi kaka zenu tumeona mengi tunapowaambia mfungue masikio yenu hekima ziwaingie

stay away from commitments...

Ni kuchezewa au ni kuchezeana? Kwa nini anageuziwa kibao mwanaume ndo aonekane anamchezea mwingine.

Kuassume uhanga ( victim) ni njia ya kike kuihadaa akili ya mwanaume .

Kila mwanaume mwenye Mwanamke anatakiwa aweke hili jambo akilini mwake ya kwamba Mwanamke ni sumu inayoharibu ubongo wako na sumu hii inanguvu ya kugeuza kabisa fikra zako.
Hii sumu ikishafanya hivyo inabaki kufurahia maisha kwa nguvu za mwingine ikidhania kutoa Uke ni zawadi.

Kama uke ni zawadi basi uume nao ni zawadi.

Kila unapoamka asubuhi kwenda kutafuta jiulize je nguvu zangu zinaninufaisha mimi ama mwingine??

Na je huyo ulie nae anastahili kunufaika na nguvu zako?

Kama ni hapana basi wewe ni mtesekaji bora( mpumbavu) unaestahili tuzo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom