Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,465
- 3,509
Pumzi ndo kila kitu ila simaanishi pumzi ya kukimbia marathon japo pia ina mchango wake, ila kitaalamu ukiweza kuregulate pumzi na mikito inakusaidia kudumu kifuani muda mrefu, na pia ukikaribia kufika mshindo unaweza kuahirisha kwa kuvuta pumzi ndefu na kui'hold' kwa muda hisia inakata wazungu wanarudi wenyewe unaanza moja. Ni mbinu za kivita tu wanazijua wazee japo zinahitaji practiceMkuu Pumzi inahusikaje ktk kufanya Mapenzi.. em nipe Elimu
Nawasilisha.
Je ni kweli hiyo point unayosema ni sahihi?Ndugu yangu mtoa mada una uwezo mkubwa wa kupangilia hoja na kushawishi ila hauna kitu kichwani umeelezea vizuri sana ila ni pumba
Mimi ntakushikilia zaidi kwenye vilevi ambayo vina compromise mfumo wa faham usiwe kwenye hali yake ya kawaida hivo zile hisia unazopata kipindi cha jimai tuassume (threshold level) inakua kidogo kiasi unachelewa kupata mshindo
Kuna Connection ipi kati ya MAPAFU na misuri ya UUME? Hasa katika wakati wa tendo. naomba unipe maelezo sahihi.Pumzi ndo kila kitu ila simaanishi pumzi ya kukimbia marathon japo pia ina mchango wake, ila kitaalamu ukiweza kuregulate pumzi na mikito inakusaidia kudumu kifuani muda mrefu, na pia ukikaribia kufika mshindo unaweza kuahirisha kwa kuvuta pumzi ndefu na kui'hold' kwa muda hisia inakata wazungu wanarudi wenyewe unaanza moja. Ni mbinu za kivita tu wanazijua wazee japo zinahitaji practice
Sasa unaleta ubishi mimi siongei ubishi nakwambia mechanism ya hizo alcohol kwenye mwili wa binadam madawa ya kuongeza nguvu za kiume yapo ya aina nyingi kuna zinazoongeza blood supply kwenye uume sabab erection inatimia kwa kupata supply ya damu hio ni sildenafil mnaita viagra na kuna za kupunguza sensation ya hisia kwa kucompromise nerve endings kama dust mkongo pombe inaingia hapo sababu inaenda kwenye high center na kucompromise CNS haujawahi kujiuliza kwanini walevi wana namna moja ya kuongea?Je ni kweli hiyo point unayosema ni sahihi?
Turudi ktk uhalisia Kama pombe zingekuwa na huo uwezo unaosema basi waganga wa kuuxa dawa za nguvu za kiume wangekuambia Utumia hixo dawa unywe na Pombe.. yaan wangekunywesha dawa yenye ulevi ndani yake..
Si sahihi.. unachofikiria kwanini?
Same as Bangi kuna misconception zinazungumzwa kuwa ukinuia kuwa navuta Bangi nifanye jambo fulan ndio jambo hilo utalifanya kiufasaha.
Ngj nikupe ushuhuda.
Inasemekana Pombe inapungiza uwezo ktk Ubongo hasa kufikiri... Ila mie kipindi nasoma ilikuwa siwez ku concentrate ktk kusoma mpk ninyewe Kvant au Valeur (HASA KIPINDI CHA UNIVERSITY EXAM'S) nakunywa vyombo na nasoma hapo hapo at the same time na kesho pepa nalikamua vzr.
Je... Ni kwel pombe inapunguza ufanisi wa Ubongo? Jibu si kwel.
Jitahidi kufanya tafiti ukianzia na mwili wako binafsi.
Sio mapafu na uume ni pumzi na hisia, kinachopelekea kuwaita wazungu ni hisia kufika kileleni yaani pressure inakuwa kubwa kwenye pelvic muscle to the extent you can't hold it kwa hiyo mwili unajiregulate kwa kurelax misuli hiyo kinachopelekea kuwatupa wazungu nje, hivyo ukivuta pumzi ndefu ukaibana una suppress hisia wazungu wanarudi, ukiitoa pumzi una relax pelvic muscle bila kuwatupa wazunguKuna Connection ipi kati ya MAPAFU na misuri ya UUME? Hasa katika wakati wa tendo. naomba unipe maelezo sahihi.
Sawa mie ni layman... Ila wewe ni arrogant.. huwez chambua mjadala kwa point za kuaminika bali unarukaruka tu..Sasa unaleta ubishi mimi siongei ubishi nakwambia mechanism ya hizo alcohol kwenye mwili wa binadam madawa ya kuongeza nguvu za kiume yapo ya aina nyingi kuna zinazoongeza blood supply kwenye uume sabab erection inatimia kwa kupata supply ya damu hio ni sildenafil mnaita viagra na kuna za kupunguza sensation ya hisia kwa kucompromise nerve endings kama dust mkongo pombe inaingia hapo sababu inaenda kwenye high center na kucompromise CNS haujawahi kujiuliza kwanini walevi wana namna moja ya kuongea?
Pombe ina compromise ufikishwaji wa taarifa na utafasirishwaji wa stimuli kwenye ubongo
Sio rahisi kuelewa mana ni layman
Kwahiyo kuwa na pumzi za kutosha ndio kubana pumzi ili usimwage? Sawa nitafanyia utafitiO
Sio mapafu na uume ni pumzi na hisia, kinachopelekea kuwaita wazungu ni hisia kufika kileleni yaani pressure inakuwa kubwa kwenye pelvic muscle to the extent you can't hold it kwa hiyo mwili unajiregulate kwa kurelax misuli hiyo kinachopelekea kuwatupa wazungu nje, hivyo ukivuta pumzi ndefu ukaibana una suppress hisia wazungu wanarudi, ukiitoa pumzi una relax pelvic muscle bila kuwatupa wazungu
Exactly na ucpomwaga huchokiKwahiyo kuwa na pumzi za kutosha ndio kubana pumzi ili usimwage? Sawa nitafanyia utafiti
Acha ujinga wewe,ulikuwa unakunywa kidogo tu,unataka kuniambia mtu aliezima ataweza soma,kama kuongea anapata tabu je kusoma.mengine uliyozungumza yanategemea na mwili wa mtu.ila pombe hapana mkuuJe ni kweli hiyo point unayosema ni sahihi?
Turudi ktk uhalisia Kama pombe zingekuwa na huo uwezo unaosema basi waganga wa kuuxa dawa za nguvu za kiume wangekuambia Utumia hixo dawa unywe na Pombe.. yaan wangekunywesha dawa yenye ulevi ndani yake..
Si sahihi.. unachofikiria kwanini?
Same as Bangi kuna misconception zinazungumzwa kuwa ukinuia kuwa navuta Bangi nifanye jambo fulan ndio jambo hilo utalifanya kiufasaha.
Ngj nikupe ushuhuda.
Inasemekana Pombe inapungiza uwezo ktk Ubongo hasa kufikiri... Ila mie kipindi nasoma ilikuwa siwez ku concentrate ktk kusoma mpk ninyewe Kvant au Valeur (HASA KIPINDI CHA UNIVERSITY EXAM'S) nakunywa vyombo na nasoma hapo hapo at the same time na kesho pepa nalikamua vzr.
Je... Ni kwel pombe inapunguza ufanisi wa Ubongo? Jibu si kwel.
Jitahidi kufanya tafiti ukianzia na mwili wako binafsi.
Sio kila anayekunywa pombe lazim azime . Na wala si kila anayekunywa pombe afanye mambo ya ajabu kama ulivyokariri.Acha ujinga wewe,ulikuwa unakunywa kidogo tu,unataka kuniambia mtu aliezima ataweza soma,kama kuongea anapata tabu je kusoma.mengine uliyozungumza yanategemea na mwili wa mtu.ila pombe hapana mkuu
Jamaa muongo Sana,Mi nimeishia hapo kwenye goli 10 kwa siku. Wacha nikae pale nisome comments
Ungekuwa wa kike ningekuomba GAME alaf urudi kufuta hii comment yako hapa..Bao 10 kwa siku HII NI CHAI MKUU[emoji4][emoji116]
[*]Nafanya mapenzi kwa ufanisi, kwenda goli 10 kwa siku ni kawaida (atakayebisha abishe).
Sent using Jamii Forums mobile app