Dhana hii bado unaikubali?

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,277
2,000
Sijawahi ikubali maana nimeikuta shuleni, kipindi nikiwa mtoto kanisani tulifundishwa kuwa aliumbwa Mwanadamu
 

Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,012
2,000
Sijawahi ikubali maana nimeikuta shuleni, kipindi nikiwa mtoto kanisani tulifundishwa kuwa aliumbwa Mwanadamu
Hakika, jamaa hapa walicheza na akili za watu wakiwa wadogo tu lakini ni vigumu kuendelea kuwa na nguvu dhana pale mtu anapojitambua.
 

Mvumbo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
1,490
2,000
Tumegundua uongo mdogo miongoni mwa uongo mwingi tuliolishwa na wazungu na kututawala.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom