Wolfgang97
Member
- Apr 28, 2023
- 30
- 59
Kiberiti cha Mo,,, kangaroo au cha gesi??Haii [emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu Kuna jehanum
Ufunuo wa Yohana 21
8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Usiguse usinuse
Inachosha mwili kivipi mkuu?Uzinzi una gharama
Ya hela
Muda
Inachosha mwili
Nk 🤣🤣
Ila roho I radhi lakini mwili ni dhaifu
1 Wakorintho 6:13Inachosha mwili kivipi mkuu?
Kivipi?Inachosha mwili kivipi mkuu?
Kwahiyo watu wawe matowashi?1 Wakorintho 6:13
Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili.
Kaka huo mwili ni Kwa ajili ya BWANA sio zinaa
Kataaa Zinaaa
Kaka matokea ya zinaaa ni laana [emoji23][emoji23] unakua adui wa MunguKwahiyo watu wawe matowashi?
Manake kwa mtu anayekula vizuri,Hana changamoto za kiafya,ana pumzika vya kutosha,hana stress za vikoba,hisia zinakuwepo za kutosha
Sasa hayo si mazoezi mkuu, ndio raha yeneyewe hiyo, kuandaana kikamilifu na kuwekana for hrs.Kivipi?
Lile tendo ukilifanya kisawasawa,linachosha mwili
Maandalizi,siyo Ile ya kukurupuka,mnaparamiana kama vibaka
Lazima muandaane vyema afu ndo mzagamuane[emoji1787]
Ila ka unafanya kama jogoo dk 2,hakuna uchovu
[emoji1787][emoji119][emoji23][emoji23]usiseme sijakuambiaKiberiti cha Mo,,, kangaroo au cha gesi??
Hosea 4:10-11Kivipi?
Lile tendo ukilifanya kisawasawa,linachosha mwili
Maandalizi,siyo Ile ya kukurupuka,mnaparamiana kama vibaka
Lazima muandaane vyema afu ndo mzagamuane[emoji1787]
Ila ka unafanya kama jogoo dk 2,hakuna uchovu
🤣🤣Wewe huwa hudhini?Kaka matokea ya zinaaa ni laana [emoji23][emoji23] unakua adui wa Mungu
Yakobo 4
4 Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.
5 Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema bure? Huyo Roho akaaye ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu?
Sizini [emoji275][emoji1787][emoji1787]Wewe huwa hudhini?
Btw am madame[emoji120]
Kaka IKIMBIE ZINAA hamna kitu kizito chochote Wala sitii huruma [emoji23][emoji23]Mleta mada utakuta amepigwa na kitu kizito tena na kabinti kadogo SANA. Kaona aje na neno la kumtia moyo..
Huwezi kujitenga na mapenzi. Tena wengi wetu tunazini SANA.
Mwanaume tunawaza pesa na mbunye Kwisha habari.
Umesalimu amri chairman? 😂😂😂hakuna raha duniani zaidi ya kumwaga ndani