Dhambi ya Usaliti

Eeh
 
Mkuu sisi huwa tunakumbusha tu vipi penzi lenu limefikia wapi?

Ila hakuna mwanaume anaye saliti ni haya makanisa ya akina mwamposa yanawapoteza
 
Ushakuwa kinyago chake, anakuongoza anavyotaka ashajua madhaifu yako. Ilitakiwa umuache mara ulipogundua hana kile alichokunyima, eti unampenda....unajua maana ya kupenda ww
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…