Dhambi ya rushwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhambi ya rushwa.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bra-joe, Apr 29, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Katika mkoa fulani huko kanda ya Ziwa watu walikuwa wazinzi sana, kila walipokuwa wakienda kuungama 98% walisema wamezini. Padri alikerwa sana na jambo hilo, siku 1 padri aliwaita waumini wote akawaambia wakizini halafu wakienda kuungama wasiseme wamezini waseme NIMEPOKEA RUSHWA. Baada ya miaka kadhaa padri akafariki, akaletwa padri mwingine, alishangaa sana kuona 98% ya waumini wanatenda dhambi ya kupokea rushwa, baada ya wiki 1 akaenda kwa mkuu wa kitengo cha kuzuia rushwa, akamwambia mkuu ktk mkoa huu rushwa imekithiri sana kwani 98% ya waumini wanakuja kuungama wamepokea rushwa, yule bosi akacheka sana. Padri akamuuliza kwa hasira "unacheka nini wakati mke wako alipokea rushwa mara tatu wiki iliyopita?" bosi alinuna gafla.
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Kwii kwiiii...
   
 3. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Eeeeeh patamu haapo.
   
 4. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Teh teh teheeeh!
   
Loading...