Dhambi saba mbaya zaidi

Kiburi (pride)
Mi naiona kuwa ni chanzo cha dhambi zote.
Mtu mwenye kiburi ni wa kuogopwa sana.
Kwanza hamtii Mwenyezi Mungu.
Utasikia anasema kwa kujitutumua

"Hakuna Mungu"
hapo yeye anajiona kama Mungu.

Huyo hawezi kutii sheria na amri zote za Mungu maana anamdharau Mungu mwenyewe.
Hawezi kumpenda jirani,
Anajiona anajua kila kitu
Hataki kufundishwa
Hawezi kujishusha

Hapo dhambi zote atazifanya kwani hamwogopi wala kumheshimu yoyote yule. Iwe Serikali jirani au Mungu.

Kilichomponza Shetani Lucifer ni KIBURI.
Nilibahatika kumsikiliza siku moja, alipoulizwa,

" Kwanini ulifukuzwa Mbinguni ? "

Akajibu kwa Kiingereza

" Because of Pride"
I was very proud of myself, I really regreat it.

Profesa mshana jr,
katika utafiti wangu, dhambi ya KIBURI ndio muasisi wa dhambi zote.

KIBURI
 

Mkuu HAYA ULIO YAANDIKA YAMETOKA KATIKA KITABU KITAKATIFU????
KWA MTAZAMO WAKO???
MANAKE SIYAAMINI MACHO YANGU KUYASOMA
KWA MFANO NAMBA.4 KUA. NA WIVU NI DHAMBI!!!!! DAAAHHH UNAENDA KINYUME BROO
NAOMBA UNIFAFANULIE. HIZO DHAMBI 7 kama umetpa ktk maandiko tupe ufunuo huo

DHAMBI YA KWANZA DUNIANI NI KUMSHIRIKISHA MWENYEZI MUNGU
vitabu vyooote vinasema
Hivyo,,cha kustaajabisha ktk hizo Dhambi 7 ulizozitaja hio MAIN THING hujaitaja
KIBURI(QIBRI) hio pia ni dhambi yenye darja kubwa saana kua na kiburi ni sawana kuvaa vazi la mwenyezi Mungu lkn cha ajabu ndio umeitaja ni ya 7
UVIVU sio dhambi MKUU

Usihukumu kitu ambacho hakijahukumiwa wala hatupaswi kuharamisha
Kitu ambacho hakija haramishw

Ghadhabu pia

Mshana nisichambue zaidi hii inaonekana ni kama ujumbe umeitoa ktl fikra zako kumtumia mtu lkn ktk maandiko hayapo
 
Good morning na asante kwa mchango mzuri, ila naomba uzingatie para mbili za mwanzoni mwa post... Wewe unastick kwenye maandiko ni sahihi kabisa ila mimi nimeandika universally katika ujumla wake
 
Asante sana naona mchango hauna tofauti sana na mchango wa stickvibration.... Naomba upitie na reply yangu kwake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…