Kuibia yatima na wajane hii kitu isipokuathibu wewe inarudi kiunoni kwa watoto wako hakuna jinsi inaweza kupandwa isiote labda uiwahi na toba, mziki mwingine dhulumu mtu mshahara wake fanyiwa kazi usimlipe mtu makusudi mziki wake nao unakaribiana na yatima na wajane....Mkufuru Mungu ni kadi nzuri sana ya kufa huchukui round! Nikiandika hapa haziishi maana nyingine ukisikia unajisemea kwakweli mimi mdhambi ila hii hapana zile unasikia baba analala na MTT wake,kikongwe miaka 60 kimebakwa,mtt miaka 2 kalawitiwa Mimi huwa masikio yanawasha kabisa sijui wenzangu ila Mungu alivyo mkuu anasamehe ukiingia ktkt toba ya kwl....