englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Karibu sana nyamazobeNtakuja pande hizo mwezi wa tisa
Karibu sana nyamazobe
Kwani humjua huyu jamaa? Huongea ama kwa picha ama kwa postaz ! Na akishaleta bandiko harejei tena Uzini .
Kutoamini kwamba Mungu yupo ni dhambi ambayo hata shetani hajawahi kuitenda.
Mmmmmh..haya,utakuja na usafiri upi kati ya hiyo hapo?!Ntaishia nyamayao tu