Do you know the meaning of the word muslim?Sorry,I am Muslim and Jesus was a pure Muslim. They com just awaiting.
Can you prove?Sorry,I am Muslim and Jesus was a pure Muslim. They com just awaiting.
Hii ni kwale ambao Roho mtakatifu amejidhihirisha kwao na akapata kuwafunulia siri ya Matendo ya Mungu ambayo yanaonekana katika ulimwengu wa Roho . Sasa badae wakaja wakakengeuka wakaacha imani na wakawa watenda uovuPoleni ndugu wananchi Tanzania kwa msiba
On point
Sisi wanadamu tunapitiwa kweli kutenda maovu lakini Mungu hutuhurumia
Kwa upande wa ukristo Yesu aliwai kusema waweza kumkufuru Yeye lakini sio roho mtakatifu hutasamehewa hata mungu lakini sio roho mtakatifu husamehewi kamwe ulimwengu huu na ule ujao hivi nini maana ya kukufuru roho mtakatifu wajuzi naomba utatuzi....
#mfikwa
#mshana jr
#zitto jr
Kwahio kujiuwa ndio kukufuru roho Roho mtakatifuKwanza Hakuna roho mtakatifu Kuna roho takatifu
Nikirud kwenye swali lako.unapaswa ufaham kwanza Kama roho hio takatifu ndio inaoleta uzima.sasa kwa kuwa watu wengi hukutwa na kifo kwa SABABU tu ya makosa yao yaani dhambi zao.maana mshahara wa dhambi Ni mauti.hakuna ushahidi kuwa wale wakamilifu wasio tenda dhambi huwa wanakufa roho.wenyewe waga wanachukuliwa roho zao hizo TAKATIFU na kupelekwa SEHEMU NYINGINE.kwa hiyo roho za watenda dhambi huwa zinachoshwa na uovu kiasi kwamba matokeo yake huwa kifo ..yaani Ni Kama ile SAA unayotoa bao unaona jinsi usivyoweza kurudisha wazungu ndani ikitoka imetoka kuwazuia Ni haiwezekan ndo maana halisi ya kuiua roho yaani umeitesa roho kiasi kwamba imeona inatosha kwa hiyo matokeo ya kifo ndo kitu kisichosamehewa you can't reverse the action..ila kwa watenda mazuri wao huwa hawafi.mkiwa mnazika mwili mwenzenu huyo bado mzima bado anaishi na watakatifu wengine na MUNgu..hivyo ndivyo nijuavyo mimi.kutosamehewa is all about death
Daah aiseeKwanza Hakuna roho mtakatifu Kuna roho takatifu

Mmmh, sio kweli Biblia inasema wazi kwamba ni Roho Mtakatifu ikimaanisha Roho ya Mungu mwenyeww, wewe unasema roho takatifu ni roho za binadamu wapi na wapi? Biblia inaposema Roho Mtakatifu haizungumzii roho ya binadamu, kwa hyo dhambi ya kumkufuru Mungu haitasamehewa labda turudi kwenye neno la kiswahili maana ya kukufuru au kiingereza blasphemy, lakini ukweli utabaki pale pale Roho Mtakatifu ni Mungu mwenyeweKwanza Hakuna roho mtakatifu Kuna roho takatifu
Nikirud kwenye swali lako.unapaswa ufaham kwanza Kama roho hio takatifu ndio inaoleta uzima.sasa kwa kuwa watu wengi hukutwa na kifo kwa SABABU tu ya makosa yao yaani dhambi zao.maana mshahara wa dhambi Ni mauti.hakuna ushahidi kuwa wale wakamilifu wasio tenda dhambi huwa wanakufa roho.wenyewe waga wanachukuliwa roho zao hizo TAKATIFU na kupelekwa SEHEMU NYINGINE.kwa hiyo roho za watenda dhambi huwa zinachoshwa na uovu kiasi kwamba matokeo yake huwa kifo ..yaani Ni Kama ile SAA unayotoa bao unaona jinsi usivyoweza kurudisha wazungu ndani ikitoka imetoka kuwazuia Ni haiwezekan ndo maana halisi ya kuiua roho yaani umeitesa roho kiasi kwamba imeona inatosha kwa hiyo matokeo ya kifo ndo kitu kisichosamehewa you can't reverse the action..ila kwa watenda mazuri wao huwa hawafi.mkiwa mnazika mwili mwenzenu huyo bado mzima bado anaishi na watakatifu wengine na MUNgu..hivyo ndivyo nijuavyo mimi.kutosamehewa is all about death
Hapana mkuu,kujiua sio kumkufuru roho mtakatifu,mfano tuseme yesu...yeye ni roho mtakatifu,sasa weka mfano kumkufuru yeyeKwahio kujiuwa ndio kukufuru roho Roho mtakatifu
Umeng'ata na kupuliza umeanza kama shahidi wa yehova umemaliza kama mkatoliki ila naomba uprove kuwa hakuna roho mtakatifuKwanza Hakuna roho mtakatifu Kuna roho takatifu
Nikirud kwenye swali lako.unapaswa ufaham kwanza Kama roho hio takatifu ndio inaoleta uzima.sasa kwa kuwa watu wengi hukutwa na kifo kwa SABABU tu ya makosa yao yaani dhambi zao.maana mshahara wa dhambi Ni mauti.hakuna ushahidi kuwa wale wakamilifu wasio tenda dhambi huwa wanakufa roho.wenyewe waga wanachukuliwa roho zao hizo TAKATIFU na kupelekwa SEHEMU NYINGINE.kwa hiyo roho za watenda dhambi huwa zinachoshwa na uovu kiasi kwamba matokeo yake huwa kifo ..yaani Ni Kama ile SAA unayotoa bao unaona jinsi usivyoweza kurudisha wazungu ndani ikitoka imetoka kuwazuia Ni haiwezekan ndo maana halisi ya kuiua roho yaani umeitesa roho kiasi kwamba imeona inatosha kwa hiyo matokeo ya kifo ndo kitu kisichosamehewa you can't reverse the action..ila kwa watenda mazuri wao huwa hawafi.mkiwa mnazika mwili mwenzenu huyo bado mzima bado anaishi na watakatifu wengine na MUNgu..hivyo ndivyo nijuavyo mimi.kutosamehewa is all about death
Umejaribu kuwa J.W lakini ukamalizia kwa kwenda kinyume na mnara wa mlinziKwanza Hakuna roho mtakatifu Kuna roho takatifu
Nikirud kwenye swali lako.unapaswa ufaham kwanza Kama roho hio takatifu ndio inaoleta uzima.sasa kwa kuwa watu wengi hukutwa na kifo kwa SABABU tu ya makosa yao yaani dhambi zao.maana mshahara wa dhambi Ni mauti.hakuna ushahidi kuwa wale wakamilifu wasio tenda dhambi huwa wanakufa roho.wenyewe waga wanachukuliwa roho zao hizo TAKATIFU na kupelekwa SEHEMU NYINGINE.kwa hiyo roho za watenda dhambi huwa zinachoshwa na uovu kiasi kwamba matokeo yake huwa kifo ..yaani Ni Kama ile SAA unayotoa bao unaona jinsi usivyoweza kurudisha wazungu ndani ikitoka imetoka kuwazuia Ni haiwezekan ndo maana halisi ya kuiua roho yaani umeitesa roho kiasi kwamba imeona inatosha kwa hiyo matokeo ya kifo ndo kitu kisichosamehewa you can't reverse the action..ila kwa watenda mazuri wao huwa hawafi.mkiwa mnazika mwili mwenzenu huyo bado mzima bado anaishi na watakatifu wengine na MUNgu..hivyo ndivyo nijuavyo mimi.kutosamehewa is all about death
Hapana aiseeee... Mi naona kama mtu akisema mwenyewe directly kuwa yupo against the holy spirit then hio ndio dhambi. Sio kukata tamaa. Kama ndio hivyo bhasi tangu nizakiwe mpaka Leo hamna atakaeenda mbinguni cause wote nilishawaona wakikata tamaa. In fact hamna binadamu asiokata tamaa. That's how Good created us, asingeweka kitu natural to us kama law kuwa tukivunja then hatusamehewi.Kumkufuru Roho Mtakatifu ni kukata tamaa. Hii ni sawa na kuweka ukomo wa nguvu za MUNGU na kusema hawezi kukuvusha. Ni sawa kabisa na kusema MUNGU hayupo.
Kumkufuru Roho Mtakatifu (Kukata tamaa) ndiyo dhambi isiyosameheka duniani wala mbinguni....Wajuvi zaidi wataendelea. Asante.
Kumkufulu Roho Mtakatifu hii ni dhambi hali ya kutotubu dhambi zako ndo kumkufuru Roho Mtakatifu na hapo kweli usipotubu dhambi basi uwezo kusamehewaPoleni ndugu wananchi Tanzania kwa msiba
On point
Sisi wanadamu tunapitiwa kweli kutenda maovu lakini Mungu hutuhurumia
Kwa upande wa ukristo Yesu aliwai kusema waweza kumkufuru Yeye lakini sio roho mtakatifu hutasamehewa hata mungu lakini sio roho mtakatifu husamehewi kamwe ulimwengu huu na ule ujao hivi nini maana ya kukufuru roho mtakatifu wajuzi naomba utatuzi....
#mfikwa
#mshana jr
#zitto jr
Mkuu hili jukwaa la dini lipo wapi?silion kwanguHii ipelekwe jukwaa la dini