Dhahabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhahabu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Dedii, Aug 25, 2010.

 1. D

  Dedii Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Wakuu, naomba kwa yeyote yule mwenye ufahamu kuhusu biashara ya dhahabu anijuze yafuatayo 1. gold iiko na makundi mangap zinatoka wp na wp hapj tz na ipi iko juu kwa bei? 2. sabbu ya bei kupanda na kushuka 3. namna ya kujua bei niipate wapi yA kila cku? 4. masoko ya ndan ya tz na nje... nikipata link zake itakuwa bora. 5. nn cha kuzingatia nikitaka kununu au kuuza ... 6. ni document gan huitajika kufanya biashara ya dhahabu ndan na nje ya tz? kwa ufupi nimetembelea sehemu za machimbo nikahamasika kuifahamu kwa uzuri
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Upande wangu sina jibu la moja kwa moja, jaribu kwenda hapo wizara ya Nishati na Madini nadhani watakupa details za kutosha.
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  umeniwahi Dedii,hopefuly tutapata majibu kutoka kwa wapendwa hapa.
  NB:kuwa makini utapeli ktk issue hizi ni mwingi.
   
 4. a

  arigold JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  mwenye majibu yako yooote ni Naushad Mohammed
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  nakumbuka mzee wa kiraracha aliogopa kumkamata naushad mohammed pale dar int airport,akasema gold ni ya kigogo
   
Loading...