Dhahabu kwisha Buzwagi, Kahama, mgodi kufungwa rasmi.

Basi haidhuru tupeleke ng'ombe tukafuge kisasa. Maana kama ng'ombe wamewekewa traffic lights kule Chattle kwanini wasilale kwenye viwanja vya ndege mgodini?
Mkuu, kuna mashimo ya maji yenye SUMU wamesema hapo (hatari kwa matumizi ya binaadamu na wanyama), sasa mchungaji akisinzia kisha wakaenda swiming itakuaje?. Tusubiri tuone yatakapo pelekwa hayo maji.
 
Nilikuwa namsikiaga zitto mgodi wa buzwagi! mgodi wa buzwagi! leo mgodi wa buzwagi umeisha dhahabu.
Ripoti ya Prof. Mruma ilituaminisha kwamba Buzwagi ni kati ya migodi yenye dhahabu nyingi sana duniani, iweje leo unafungwa kwa kuishiwa madini? Mlipoambiwa zile ripoti zilikuwa za kupikwa hamkuamini!
 
Wana LUMUMBA roho zao zitapoa sasa, baada ya kuwapa wawekezaji mikataba ya unyonyaji miaka kibao. Halafu leo eti wanawaita mabeberu, wakati wao ndio waliokua wanawaalika kuja nchini.

Wamenyonya mpaka wamemaliza dhahabu yote Buzwagi.

Ila mungu mkubwa, hao hao mabeberu safari hii ndio wataisambaratisha CCM kisawa sawa.
Hakuna aliyesalama kwa wazungu hata wewe mburukenge wa Ufipa utaumia sawa sawa na wa Lumumba issue zitakapobumburuka, Uufipa wako hautakufaa kitu, jiandae kisaokolojia. Wazungu hawana rafiki hata huyo TL wanayemtibu si rafiki yao.Wakimaliza madini yote watarudi kutufira ndiyo maana wao kwao wameanza kunifanya wanahalalisha na kutambua ufiraji na ufirwaji km haki za binadamu. Wewe andaa hiyo nya tu ***** zako.
 
Soon uchumi wa mji wa kahama utayumba!!

Serikali yetu ingekuwa inajielewa ingeweka mpango mkakati wa ku diversfy uchumi wa kahama ili u survive hta km mgodi utafungwa

Ila ndyo ivo wapo bize ku deal na mambo ya kipuuzi kbsa!
 
Ripoti ya Prof. Mruma ilituaminisha kwamba Buzwagi ni kati ya migodi yenye dhahabu nyingi sana duniani, iweje leo unafungwa kwa kuishiwa madini? Mlipoambiwa zile ripoti zilikuwa za kupikwa hamkuamini!
wezi tu wale kiongozi sasa tumeachiwa mashimo tufukie
 
Wana LUMUMBA roho zao zitapoa sasa, baada ya kuwapa wawekezaji mikataba ya unyonyaji miaka kibao. Halafu leo eti wanawaita mabeberu, wakati wao ndio waliokua wanawaalika kuja nchini.

Wamenyonya mpaka wamemaliza dhahabu yote Buzwagi.

Ila mungu mkubwa, hao hao mabeberu safari hii ndio wataisambaratisha CCM kisawa sawa.
CCM wapo kama Mangungo was Msowero!!
 
CCM wapo kama Mangungo was Msowero!!
Kabisa, ndio waliotupotezea dira ya nchi yetu. Wametawala miaka 58 ila kulasiku tunadhukumiwa almasi/dhahabu/gesi/umeme. Halafu wanajitekenya wenyewe eti tunaonewa, wakati wao ndio wanaowaleta hao wazungu na kuwapa mikataba wenyewe.
 
Kuna kitu gani tunachoweza kukiona kwa macho kilichopatikana kwetu kwenye mgodi huu toka kuanza mpaka unafungwa? Je kuna Chuo Kikuu chochote,Hospitali ya Rufaa jee? Barabara nzuri ya laami Jee?
 
Wana LUMUMBA roho zao zitapoa sasa, baada ya kuwapa wawekezaji mikataba ya unyonyaji miaka kibao. Halafu leo eti wanawaita mabeberu, wakati wao ndio waliokua wanawaalika kuja nchini.

Wamenyonya mpaka wamemaliza dhahabu yote Buzwagi.

Ila mungu mkubwa, hao hao mabeberu safari hii ndio wataisambaratisha CCM kisawa sawa.
Endelea kuota
 
Back
Top Bottom