Umeeleza vyema mkuu, kuna jamaa nilikuwa namueleza kwenye uzi mmoja humu..Kumekuwa na hofu kubwa sana kuhusu AI, wengi wanaiona kama adui au tishio kwenye ajira na future ya Software Development. Lakini ukweli ni kwamba AI si adui ni tool muhimu sana hasa katika kipindi hiki cha mapinduzi ya teknolojia.
Kama una misingi mzuri wa Software Engineering, AI inakuongezea nguvu badala ya kukupunguzia thamani. Leo unaweza kufanya project ambayo zamani ilihitaji watu watatu au zaidi na ukaideliver mwenyewe kwa ufanisi mkubwa. AI inakusaidia kufanya fasta development, kutatua bugs, kuboresha logic, na hata kukupa alternative ya solutions unapokwama.
Unapoona kosa au challenge kwenye code, badala ya kuchukia AI, itumie kama mwalimu wa pili. Jifunze kwanini imependekeza solution fulani, hapo ndipo unakua zaidi kitaaluma, huwezi subiri ujibiwe stack overflow zaidi ya siku hadi wiki kama tulivyofanya zamani. Ai inachakbua majibu yaliyokwishajibiwa na kuyaweka katika format nzuri na RAHISI.
Tukumbuke pia mabadiliko ya tech hayajaanza leo:
Zamani tulianza na HTML & PHP,
zikaja Bootstrap & Laravel,
mara tukahamia Node.js & React,
kwenye Mobile tukaanza na Java, ikaja Kotlin,
leo tuna Flutter na nyingine nyingi.
Kila kizazi kilikuwa na hofu ya tech mpya lakini walioikumbatia tech mpya ndio waliosonga mbele na wanapata opportunity.
Ujumbe wangu ni huu:
Usipambane na teknolojia Nenda nayo.
AI haitachukua nafasi yako kama wewe ni mbunifu na unaelewa unachofanya. Badala yake, itakuweka level nyingine kabisa.
Jifunze, adapt, grow. Future ni ya wale wanaokubali mabadiliko.
Naam kakaUmeeleza vyema mkuu, kuna jamaa nilikuwa namueleza kwenye uzi mmoja humu..
Devs wengi hivi sasa wanataka kufanya mashindano na AI na kuiona kama adui, mtu anaanza kuponda kwamba AI inaandika boilerplate tu..
Kwa miaka mingi tu devs wanaandika codes za kujirudia na za kufanana, hata kama Apps ni tofuati, nyuma utakuta lines nyingi tu za codes zinafanana kitu ambacho ni kawaida...
Hivyo AI imekuja tu kurahisisha badala ya kusubiri majibu stackoverflow, au kufanya manual, AI inakurahisishia..
Lakini kiuhalisia katika programming sehemu kubwa katika projects nyingi codes zinazotumika zilishaandikwa huko github, stackoverflow n.k.. ni wewe kuzichukua, edit lines baadhi unavyotaka.. then paste.. there you go..
Hata enterprise level software kuna library wanatumia zimeandikwa na watu binafsi na wakazitoa kama open source...
Umeeleweka kiongozi..
AI ni mkomboziKumekuwa na hofu kubwa sana kuhusu AI, wengi wanaiona kama adui au tishio kwenye ajira na future ya Software Development. Lakini ukweli ni kwamba AI si adui ni tool muhimu sana hasa katika kipindi hiki cha mapinduzi ya teknolojia.
Kama una misingi mzuri wa Software Engineering, AI inakuongezea nguvu badala ya kukupunguzia thamani. Leo unaweza kufanya project ambayo zamani ilihitaji watu watatu au zaidi na ukaideliver mwenyewe kwa ufanisi mkubwa. AI inakusaidia kufanya fasta development, kutatua bugs, kuboresha logic, na hata kukupa alternative ya solutions unapokwama.
Unapoona kosa au challenge kwenye code, badala ya kuchukia AI, itumie kama mwalimu wa pili. Jifunze kwanini imependekeza solution fulani, hapo ndipo unakua zaidi kitaaluma, huwezi subiri ujibiwe stack overflow zaidi ya siku hadi wiki kama tulivyofanya zamani. Ai inachakbua majibu yaliyokwishajibiwa na kuyaweka katika format nzuri na RAHISI.
Tukumbuke pia mabadiliko ya tech hayajaanza leo:
Zamani tulianza na HTML & PHP,
zikaja Bootstrap & Laravel,
mara tukahamia Node.js & React,
kwenye Mobile tukaanza na Java, ikaja Kotlin,
leo tuna Flutter na nyingine nyingi.
Kila kizazi kilikuwa na hofu ya tech mpya lakini walioikumbatia tech mpya ndio waliosonga mbele na wanapata opportunity.
Ujumbe wangu ni huu:
Usipambane na teknolojia Nenda nayo.
AI haitachukua nafasi yako kama wewe ni mbunifu na unaelewa unachofanya. Badala yake, itakuweka level nyingine kabisa.
Jifunze, adapt, grow. Future ni ya wale wanaokubali mabadiliko.
All including this post ni AI generated taste ya developer itabaki palepale mzee.Umeeleza vyema mkuu, kuna jamaa nilikuwa namueleza kwenye uzi mmoja humu..
Devs wengi hivi sasa wanataka kufanya mashindano na AI na kuiona kama adui, mtu anaanza kuponda kwamba AI inaandika boilerplate tu..
Kwa miaka mingi tu devs wanaandika codes za kujirudia na za kufanana, hata kama Apps ni tofuati, nyuma utakuta lines nyingi tu za codes zinafanana kitu ambacho ni kawaida...
Hivyo AI imekuja tu kurahisisha badala ya kusubiri majibu stackoverflow, au kufanya manual, AI inakurahisishia..
Lakini kiuhalisia katika programming sehemu kubwa katika projects nyingi codes zinazotumika zilishaandikwa huko github, stackoverflow n.k.. ni wewe kuzichukua, edit lines baadhi unavyotaka.. then paste.. there you go..
Hata enterprise level software kuna library wanatumia zimeandikwa na watu binafsi na wakazitoa kama open source...
Umeeleweka kiongozi..
Check hapaUmeeleza vyema mkuu, kuna jamaa nilikuwa namueleza kwenye uzi mmoja humu..