Developers wa Tanzania

Developers wa Tanzania

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,287
Reaction score
1,850
Kumekuwa na hofu kubwa sana kuhusu AI, wengi wanaiona kama adui au tishio kwenye ajira na future ya Software Development. Lakini ukweli ni kwamba AI si adui ni tool muhimu sana hasa katika kipindi hiki cha mapinduzi ya teknolojia.

Kama una misingi mzuri wa Software Engineering, AI inakuongezea nguvu badala ya kukupunguzia thamani. Leo unaweza kufanya project ambayo zamani ilihitaji watu watatu au zaidi na ukaideliver mwenyewe kwa ufanisi mkubwa. AI inakusaidia kufanya fasta development, kutatua bugs, kuboresha logic, na hata kukupa alternative ya solutions unapokwama.

Unapoona kosa au challenge kwenye code, badala ya kuchukia AI, itumie kama mwalimu wa pili. Jifunze kwanini imependekeza solution fulani, hapo ndipo unakua zaidi kitaaluma, huwezi subiri ujibiwe stack overflow zaidi ya siku hadi wiki kama tulivyofanya zamani. Ai inachakbua majibu yaliyokwishajibiwa na kuyaweka katika format nzuri na RAHISI.

Tukumbuke pia mabadiliko ya tech hayajaanza leo:

Zamani tulianza na HTML & PHP,
zikaja Bootstrap & Laravel,
mara tukahamia Node.js & React,
kwenye Mobile tukaanza na Java, ikaja Kotlin,
leo tuna Flutter na nyingine nyingi.

Kila kizazi kilikuwa na hofu ya tech mpya lakini walioikumbatia tech mpya ndio waliosonga mbele na wanapata opportunity.

Ujumbe wangu ni huu:
Usipambane na teknolojia Nenda nayo.
AI haitachukua nafasi yako kama wewe ni mbunifu na unaelewa unachofanya. Badala yake, itakuweka level nyingine kabisa.

Jifunze, adapt, grow. Future ni ya wale wanaokubali mabadiliko.
 
Umeeleza vyema mkuu, kuna jamaa nilikuwa namueleza kwenye uzi mmoja humu..

Devs wengi hivi sasa wanataka kufanya mashindano na AI na kuiona kama adui, mtu anaanza kuponda kwamba AI inaandika boilerplate tu..

Kwa miaka mingi tu devs wanaandika codes za kujirudia na za kufanana, hata kama Apps ni tofuati, nyuma utakuta lines nyingi tu za codes zinafanana kitu ambacho ni kawaida...

Hivyo AI imekuja tu kurahisisha badala ya kusubiri majibu stackoverflow, au kufanya manual, AI inakurahisishia..

Lakini kiuhalisia katika programming sehemu kubwa katika projects nyingi codes zinazotumika zilishaandikwa huko github, stackoverflow n.k.. ni wewe kuzichukua, edit lines baadhi unavyotaka.. then paste.. there you go..

Hata enterprise level software kuna library wanatumia zimeandikwa na watu binafsi na wakazitoa kama open source...

Umeeleweka kiongozi..
 
Naam kaka
 
Mimi binafsi nimeipokea vyema na matunda yake nimeyaona. Sikuwa mpenzi sana wa kuandika python wala kufanya project za python ila kwa msaada wa AI sioni shida kushiriki kwenye project hizo. As long ninafahamu na kuelewa kinachoandikwa (sio copy & paste) ni tool nzuri tu
 
Kumekuwa na hofu kubwa sana kuhusu AI, wengi wanaiona kama adui au tishio kwenye ajira na future ya Software Development. Lakini ukweli ni kwamba AI si adui ni tool muhimu sana hasa katika kipindi hiki cha mapinduzi ya teknolojia.

Kama una misingi mzuri wa Software Engineering, AI inakuongezea nguvu badala ya kukupunguzia thamani. Leo unaweza kufanya project ambayo zamani ilihitaji watu watatu au zaidi na ukaideliver mwenyewe kwa ufanisi mkubwa. AI inakusaidia kufanya fasta development, kutatua bugs, kuboresha logic, na hata kukupa alternative ya solutions unapokwama.

Unapoona kosa au challenge kwenye code, badala ya kuchukia AI, itumie kama mwalimu wa pili. Jifunze kwanini imependekeza solution fulani, hapo ndipo unakua zaidi kitaaluma, huwezi subiri ujibiwe stack overflow zaidi ya siku hadi wiki kama tulivyofanya zamani. Ai inachakbua majibu yaliyokwishajibiwa na kuyaweka katika format nzuri na RAHISI.

Tukumbuke pia mabadiliko ya tech hayajaanza leo:

Zamani tulianza na HTML & PHP,
zikaja Bootstrap & Laravel,
mara tukahamia Node.js & React,
kwenye Mobile tukaanza na Java, ikaja Kotlin,
leo tuna Flutter na nyingine nyingi.

Kila kizazi kilikuwa na hofu ya tech mpya lakini walioikumbatia tech mpya ndio waliosonga mbele na wanapata opportunity.

Ujumbe wangu ni huu:
Usipambane na teknolojia Nenda nayo.
AI haitachukua nafasi yako kama wewe ni mbunifu na unaelewa unachofanya. Badala yake, itakuweka level nyingine kabisa.

Jifunze, adapt, grow. Future ni ya wale wanaokubali mabadiliko.
AI ni mkombozi
 
Umeeleza vyema mkuu, kuna jamaa nilikuwa namueleza kwenye uzi mmoja humu..

Devs wengi hivi sasa wanataka kufanya mashindano na AI na kuiona kama adui, mtu anaanza kuponda kwamba AI inaandika boilerplate tu..

Kwa miaka mingi tu devs wanaandika codes za kujirudia na za kufanana, hata kama Apps ni tofuati, nyuma utakuta lines nyingi tu za codes zinafanana kitu ambacho ni kawaida...

Hivyo AI imekuja tu kurahisisha badala ya kusubiri majibu stackoverflow, au kufanya manual, AI inakurahisishia..

Lakini kiuhalisia katika programming sehemu kubwa katika projects nyingi codes zinazotumika zilishaandikwa huko github, stackoverflow n.k.. ni wewe kuzichukua, edit lines baadhi unavyotaka.. then paste.. there you go..

Hata enterprise level software kuna library wanatumia zimeandikwa na watu binafsi na wakazitoa kama open source...

Umeeleweka kiongozi..
All including this post ni AI generated taste ya developer itabaki palepale mzee.

AI haijafika level ya kuwa binadamu again AI is just a tool not human replacement zinafanyiwa upgrade kwasababu ya weakness na incomplete features. Ukitaka kuamini developers bado wanaandika code nenda kwenye makampuni makubwa uone.

Kuna tofauti kati ya Vibe Coding na AI Assistance.

Most beginners duniani they are just vibe coders hawajui hata ni nini a certain block of code inafanya. Senior devs wengi wanakwepa upepo wa vibe coding.

Ngoja nilete reference kutoka forum fulani ya ma senior usome ni nini watu wa wanaofanya kazi Amazon na Makampuni mengine makubwa wanasema despite of AI existance still manual coding makes sense.
 
Umeeleza vyema mkuu, kuna jamaa nilikuwa namueleza kwenye uzi mmoja humu..

Devs wengi hivi sasa wanataka kufanya mashindano na AI na kuiona kama adui, mtu anaanza kuponda kwamba AI inaandika boilerplate tu..

Kwa miaka mingi tu devs wanaandika codes za kujirudia na za kufanana, hata kama Apps ni tofuati, nyuma utakuta lines nyingi tu za codes zinafanana kitu ambacho ni kawaida...

Hivyo AI imekuja tu kurahisisha badala ya kusubiri majibu stackoverflow, au kufanya manual, AI inakurahisishia..

Lakini kiuhalisia katika programming sehemu kubwa katika projects nyingi codes zinazotumika zilishaandikwa huko github, stackoverflow n.k.. ni wewe kuzichukua, edit lines baadhi unavyotaka.. then paste.. there you go..

Hata enterprise level software kuna library wanatumia zimeandikwa na watu binafsi na wakazitoa kama open source...

Umeeleweka kiongozi..
Check hapa

☝️Wameeleza mengi sana some developers wameanza 1980's hapo. Wengi Wameeleza mengi including why system level developers wanaendele kuandika code manually.

Tatizo bongo watu wanapenda kamseleleko, CS is about logic na huwezi kuikimbia. AI Ina sehemu yake lakini haimaanishi human being watakuwa replaced.
 
Back
Top Bottom