Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

Naona unajitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe, unadhani kuna watoto humu JF unajianzishia thread halafu unajijibu mwenyewe...usiwe na wasiwasi ubunge wa Kibosho utapewa na Mbowe na Slaa, kazi waliokutuma ulimaliza vizuri Kamanda.
Ur GT bro kip t up!
 
Yeye mwenyewe Deus F Mallya amekanusha kumuua Chacha Wangwe (RIP), Mahakama haijamkuta na hatia, Daktari aliyefanya post mortem amethibitisha kifo kilisababishwa na ajali, sasa wewe hebu tupe ushahidi wako usio na mashaka kuwa Deus alihusika na kifo hicho. Ukituwekea vielelezo kuthibitisha hoja yako pasipo na mashaka YOYOTE, basi ntaungana nawe kumlaani Deus kwa mauaji hayo. Vinginevyo naona hapa ni mchezo wa kuchafuliana tu hamna lolote......

Asprin,
Naona umeamua kumtetea ndugu yako ya Kibosho, nakushauri mwambie huyo unayemtetea mfunge safari ya siku tatu muende Tarime mkawafahamishe kuwa walete ushahidi wa kifo cha Ras Kamanda Chacha Wangwe kama mtarudi Moshi.
 
Naumia sana ninavyoona uongo unapata mashiko ya kuwa ukweli ila bro haina haja ya kuendelea kubishana na Deus. Nilikua naongea na mallya furani hapa anashangaa sana kusikia huyu mtu yupo tena huku. Ila haina faida kwangu zaidi ya kunipotezea muda...
Kuna mtu kanambia ile kesi yake ya kudhurumu wale wanafunzi wa umbwe zile 3000 zao @ na zile za temele ilibidi asamehewe coz waliokabidhiwa lile deni waliona itawasumbua tu, na kile kihamba (shamba la familia kichaga) aliloweka dhamana akishindwa kulipa kutofikia hata robo ya ile pesa alokuwa anadaiwa....
Deus kwa nini lakini hautaki kufanya kazi itakayokuwa na heri kwako zaidi ya hizi raana unazozing'ang'ania kaka?????.......

Watu wamekalia ushbiki tu humu for heavens sake why is he not answering these qns?
1) Kuhusu father Temere wa umbwe parish

2) Kama kasoma zaidi ya std7 (kumbukeni mjini ni shule pia) ila aliattend shule gani wapi mwaka gani?

Kujibu kwake vizuri kumbuka alipata shule kutokana na hiyo ajali pia ametumia muda mwingi na hii kesi mind u he spent 499 days behind bars. Hebu mwingine amuulize kama atajibu form one aliandkishwa wapi?

3) Kuhusu hela za vijana wa Umbwe sec na za kanisa ndugu Maege katoa maelezo mwambieni agusie kidogo na yy sio kuignore tu au mnaenjoy na hii hadithi ya bunuwac?

Mmeambiwa ukikutana nae utajua ni shemas na ni kweli na mi nimesema yuko very humble ukimkuta kapiga miwani yake uchwara na sura ya upole utajaa tu lazima akulize NI TAPELI (samahani kwa kutumia hili neno)

4) Wote tungeweza. kumsimamia kidete ajibu haya tungekua pamoja

5) Wewe unaeshangaa gari na nyumba jiulize mtu awe na biashara zote hizo publishing company akose gari na nyumba ya kuishi hebu tuTHINK BIG kidogo hapo

Deus hebu jibu ndugu yangu usizingue watu jf sio fb.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Asprin,
Naona umemuamua kumtetea ndugu yako ya Kibosho, nakushauri mwambie huyo unayemtetea mfunge safari ya siku tatu muende Tarime mkawafahamishe kuwa walete ushahidi wa kifo cha Ras Kamanda Chacha Wangwe kama mtarudi Moshi.
Mkuu Ritz,

Najua we ni mtetezi mzuri sana wa mahakama zetu na uendeshaji wake. Unatilia mashaka maamuzi ya mahakama iliyomsafisha kijana Deus kuwa hana hatia?

Simtetei mtu hapa. Natetea haki ya mtu bila kujali ni kabila gani. Bahati mbaya hata Kibosho yenyewe sijawahi kufika. Vipi mbona huwasemi isidory michael na wengine wanaomponda Mkibosho mwenzao?

Naona taratibu tunakwepa hoja ya mauaji ya Wangwe tunahamia kwenye ukabila. Too bad!
 
Last edited by a moderator:
Watu wamekalia ushbiki tu humu for heavens sake why is he not answering these qns?
1) Kuhusu father Temere wa umbwe parish
2) Kama kasoma zaidi ya std7 (kumbukeni mjini ni shule pia) ila aliattend shule gani wapi mwaka gani? Kujibu kwake vizuri kumbuka alipata shule kutokana na hiyo ajali pia ametumia muda mwingi na hii kesi mind u he spent 499 days behind bars. Hebu mwingine amuulize kama atajibu form one aliandkishwa wapi?

3) Kuhusu ela za vijana wa umbwe sec na za kanisa ndugu maege katoa maelezo mwambieni agusie kidogo na yy sio kuignore tu au mnaenjoy na hii hadithi ya abunuwac? Mmeambiwa ukikutana nae utajua ni shemas na ni kweli na mi nimesema yuko very humble ukimkuta kapiga miwani yake uchwara na sura ya upole utajaa tu lazima akulize NI TAPELI (samahani kwa kutumia hili neno)
4) Wote tungeweza. kumsimamia kidete ajibu
Haya tungekua pamoja
5) Wewe unaeshangaa gari na nyumba jiulize mtu awe na biashara zote hizo publishing company akose gari na nyumba ya kuishi hebu tuTHINK BIG kidogo hapo
Deus hebu jibu ndugu yangu usizingue watu jf sio fb.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kuna kashati kake alikuwa anakavaa keupe kana picha ya moyi wa Yesu utadhani saint mhhh kaka Deo unaitendea haki professinal yako....
 
Watu wamekalia ushbiki tu humu for heavens sake why is he not answering these qns?
1) Kuhusu father Temere wa umbwe parish

2) Kama kasoma zaidi ya std7 (kumbukeni mjini ni shule pia) ila aliattend shule gani wapi mwaka gani?

Kujibu kwake vizuri kumbuka alipata shule kutokana na hiyo ajali pia ametumia muda mwingi na hii kesi mind u he spent 499 days behind bars. Hebu mwingine amuulize kama atajibu form one aliandkishwa wapi?

3) Kuhusu hela za vijana wa Umbwe sec na za kanisa ndugu Maege katoa maelezo mwambieni agusie kidogo na yy sio kuignore tu au mnaenjoy na hii hadithi ya bunuwac?

Mmeambiwa ukikutana nae utajua ni shemas na ni kweli na mi nimesema yuko very humble ukimkuta kapiga miwani yake uchwara na sura ya upole utajaa tu lazima akulize NI TAPELI (samahani kwa kutumia hili neno)

4) Wote tungeweza. kumsimamia kidete ajibu haya tungekua pamoja

5) Wewe unaeshangaa gari na nyumba jiulize mtu awe na biashara zote hizo publishing company akose gari na nyumba ya kuishi hebu tuTHINK BIG kidogo hapo

Deus hebu jibu ndugu yangu usizingue watu jf sio fb.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Akishayajibu yote haya, ndio tutaujua ukweli kuwa yeye ndio alimuua Chacha Wangwe(RIP)?
 
Kamuuwa mbunge, mtetezi na kipenzi cha wanyonge ras Chacha. Kila nikiliona jina la huyu ibilisi mtoa roho Deus Malya natokwa na machozi natumai mungu atamlipa hapa hapa duniani.

Hivi Intelejensia ya Chadema ilivyokuwa kali wameshindwa kweli kujua kilichomuua Kamanda Wangwe.

Kama wameza kujua Dr Slaa, Mnyika, Lema, wanataka kuuwa, wameweza kufahamu CCM wanaingiza silaha, wameweza kujua kuna makotena ya kura za bandia kutoka China, kweli wameshindwa kufahamu Chacha Wangwe nani kamuuwa...tafakari.
 
Nilikuwa simfahamu huyu jamaa ila nimemfahamu kupitia hii thread shughuli anazofanya... Jina lake kamili... Nchi alizotembelea .. NGO aliyowahi kuwakilisha... Mrengo wake wa kisiasa... Mkuu kama ni campaign umeanza umeshajitangaza vya kutosha tusiokufahamu tushakufahamu.. otherwise umejibu maswali uliyoulizwa vizuri sana .. binafsi sina swali sababu nlikuwa sikufahamu.. kama mahakama imekuona huna hatia sioni sababu ya kuendelea kuongelea hili swala hadi ufike hatua ya kuandika kitabu kama mdau mmoja alivyo kushauri.....

Mtu akifanya vizuri mpongeze bwana....jamaa smart aisee mimi sijui kaishia darasa la saba au hakusoma yani kapangua hoja wabaya wake wamebaki kulalama tu....katika watu walioamini kuwa jamaa ni killer mimi mmoja wao ....sitaki tena habari za kusikia duh....
 
Kuna kashati kake alikuwa anakavaa keupe kana picha ya moyi wa Yesu utadhani saint mhhh kaka Deo unaitendea haki professinal yako....

Huyo ni noma kwa usanii nadhani angeenda kuchukua nafasi ya K the great (RIP) angeimudu zaidi.

Kuna bro wangu alimkubali sana within 3 dayz za mwanzo, kilichomtokea anajua mwenyewe kwani aliishia kulipa bill za bia tu.

Watu wanadhani tunamzingua au tuna hatred kwake kumbe tunawasaidia wacje ingia mtegoni na kama mshaexchange contacts usimkimbie wee kaa nae makini tu if ur wise enough u will read btn the lines.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Toka jana nafuatilia mjadala huu, sababu za kuufuatilia kwanza ni kuona Jina la Deus Mallya humu, pili kuona ustadi wake mkubwa wa kujibu masuali na tatu ni kuona kama atajibia tuhuma za utapeli kama anavyopewa na Maege na wenzake.

Nachoka kusubiria majibu ya hizo tuhuma, naomba kaka Deo utujibu coz na mimi ni muhanga tho sipo upande wowote kuhusiana na kifo cha Wangwe wala wewe kwenda kugombea ubunge Ms vijijini.
 
toka jana nafuatilia mjadala huu, sababu za kuufuatilia kwanza ni kuona Jina la Deus Mallya humu pili kuona ustadi wake mkubwa wa kujibu maswali na tatu ni kuona kama atajibia tuhuma za utapeli kama anavyopewa na maege na wenzake.... Nachoka kusubilia majibu ya hizo tuhuma naomba kaka deo utujibu coz na mimi ni muhanga tho sipo upande wowote kuhusiana na kifo cha wangwe wala wewe kwenda kugombea ubunge ms vijijini....

Wenzio wote wakiwa kaa wewe tutafika. Mshinikizeni ajibu kwa nn anakwepa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Std7 ndo highest level aliyosoma zaidi ya hapo ni usanii utapeli sound kijipendekeza kujikwaza and such.
Kama kazidi hapo aseme amesoma secondary gani na wapi na mwaka gani.
Tycs umbwe sec alienda kuwatapeli na dili zake za tshirt na kudesign logo hakusoma umbwe sec, he did the same parokiani. Najua hatojibu ila ni kwa faida ya jamii take it from me narudia tena I DONT HAVE ANY PROBLEM WITH HIM, I just want him to stop ****** around and fooling people ajali ile ilikua just like any other accident lakini imekua kama ndo NITOKE VIPI.
Kama aliweza kulala kwa chacha y nt parokiani kwa kujipendekeza na anajua kuwa humble huwezi amini! Kuna mchangiaji alisema the end will justify the means nami naungana nae.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums


Yani katika watu waliochemka wa kwanza wewe wa pili bwana roho mbaya Ritz .....wewe si ulisema utaleta mambo hapa mpaka atakimbia......nakusubiri kwa hamu...mpaka sasa tatu bila....Jamani kukubali ukweli sio dhambi mbona watu kibao waliomshambulia leo wamekiri dogo moto nikiwemo mie....
 
Last edited by a moderator:
Mfwetu .... kunjane

Ughupi wena .... tekwini, ekaya or joz... niyakutanda kakulu

Sometimes unemanga pezulu

Hakuna nix mfwetu ... siyabonga

Huyu mzulu lazima atakuwa anaishi India...ha haa haa..

Ukhuluma isiZulu na? Ngubani igama lakho?
 
Mkuu naona unajicontradict mwenyewe, what is a publishing company ni majengo na magari au ni mtu entity ambayo inawakutanisha mtu mwenye kazi yake na kumfanyia publishing na kumsaidia marketing na kumuuzia kazi yake, au unataka kusema huwezi kuwa na publishing company mpaka umiliki mitambo?

(unaweza ukawa na laptop yako tu lakini umesajili kampuni yako ya kufanya publishing na kila kitu una-outsource.., umeshasema jamaa ana charisma (anajua kutafuta kazi) which is a biggest asset in business)

Lakini mapungufu yote na utapeli still does not make you a murderer (if am not mistaken is the main issue in this thread)

au nimekosea wapi ?
 

Mkuu nadhani labda hapa maswali unayouliza hayana uhusiano na kifo cha Chacha


Kama issue ni kuongelea Utapeli au ukweli wa muhusika nadhani labda una point ila sioni connection ya father Temere na Kifo cha Chacha


Mkuu hata kama hajasoma hata darasa la kwanza tangia lini hii ikawa hatia kwa mtu.., au upeo wa mtu na hatia ya mtu siku hizi inapimwa kwa madarasa mangapi aliyosoma ?, Lets say you are right huyu Jamaa hajawahi kusoma hata darasa moja.. (Is this a Crime ?)


Nadhani labda tukisema jamaa he is guilty of Utapeli (na kama issue ingekuwa Utapeli wa Deus) hapa hizi evidence ndio zingekuwa na mashiko.



Some people can call this Charisma na hii ni talent kama mtu anaweza kuuza product zake na yeye appearance yake ikampatia kazi kwangu mimi naona this is a positive na sio negative


Tukianza kupigia debe majibu ya amesoma wapi na lini nadhani tutakuwa tunaacha the main points na issue za maana ambazo ni consipiracies za kifo / accident ya Chacha Wangwe


Mkuu naona unajicontradict mwenyewe what is a publishing company ni majengo na magari au ni mtu entity ambayo inawakutanisha mtu mwenye kazi yake na kumfanyia publishing na kumsaidia marketing na kumuuzia kazi yake..., au unataka kusema huwezi kuwa na publishing company mpaka umiliki mitambo..? (unaweza ukawa na laptop yako tu lakini umesajili kampuni yako ya kufanya publishing na kila kitu una-outsource.., umeshasema jamaa ana charisma (anajua kutafuta kazi) which is a biggest asset in business)

lakini mapungufu yote na utapeli still does not make you a murderer (if am not mistaken is the main issue in this thread)

au nimekosea wapi ?

Thread ilikua na heading tofauti jana ilikua ni kuhusu deus kugombea ubunge moshi vijijini leo ndo imebadilika to qns n ans kuhusu kifo. Jana ungeisoma au ianze mwanzo utanipata otherwise uliyosema uko sahihi na hata mimi napinga yy kuhusishwa na kifo coz hana hizo tactics za assassination nimemsafisha katika hilo. Mi nabishana nae kuhusu qualification za ubunge na reputation yake alivyoichafua kibosho. Kuna lingine mkuu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wangwe kama watu wengine ana madhaifu yake .Na madhaifu yake hata kama machache yanaweza kwa ni matatizo yake makubwa.Sioni busara ya watu kumfanya kam vile alikuwa Intellectual fulani mwenye vitabu zaidi 10katik philosophy, na mengine makubwa.Hatukatai kuwa alikuwa na uwezo fulani wa kitaaluma ila tusikuze mambo ili hisia zetu zipate misingi ya kuonekana kuwa na Nguvu.Kama angekuwa smart kihivyo basi angejua sana mazingira yake ya kazi na kupima ,maamuzi yake, na angejua hali ilipokuwa ikinenda kwa kuangalia parameters zake.
.

Utu, Ubindamu na Haki ya kuishi hautegemi umuhimu wa mtu au madhaifu yake katika jamii. Hakuna mtu aliyemkamilifu, kama Mungu angekuwa na mawazo kama yako hakuna mtu angeishi duniani.
 
Akishayajibu yote haya, ndio tutaujua ukweli kuwa yeye ndio alimuua Chacha Wangwe(RIP)?

Akiyajibu mtajua mnajibizana na nani na mkamfahamu upande wa pili na hii itawalead kwenye ukweli kwamba hata assassination hawezi zaidi ya utapeli
Mmempaisha mpaka kufikia level za kucheza stunts za jason startham c angekua hollywood saa hizi?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Thread ilikua na heading tofauti jana ilikua ni kuhusu deus kugombea ubunge moshi vijijini leo ndo imebadilika to qns n ans kuhusu kifo. Jana ungeisoma au ianze mwanzo utanipata otherwise uliyosema uko sahihi na hata mimi napinga yy kuhusishwa na kifo coz hana hizo tactics za assassination nimemsafisha katika hilo. Mi nabishana nae kuhusu qualification za ubunge na reputation yake alivyoichafua kibosho. Kuna lingine mkuu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hata kama ilikuwa na heading tofauti, Hakuna sehemu Deus F Mallya aliposema anagombea ubunge wa Moshi vijijini. Na huyu bwana si aliyeanzisha hii thread bali imeanzisha na Ni Mimi Msiogope. Mi nadhani ungejibu kwanza hoja za sun wu kumuhusisha huyu bwana na makashfa yote hayo ambayo hayaendani kabisa na mada iliyoko jikoni.
 
Last edited by a moderator:
1) Tunahoji elimu yake coz kunacontradiction kati ya elimu yake ya ukweli wa kuwa editor wa kitabu cha Mh zitto yeye ni std 7 vinginevyo akanushe. Na coz zitto yupo humu ye anaweza kutupa ukweli pia)
2) kuhusu publishing coy sababu ndiyo njia aliyotumia kuwatapeli wanafunzi wa umbwe na father Temele na ndiyo anayoitumia sana. Kama anacoy ya hizo kazi athibitishe kwa hata kutupia location yake au mkoa iliyopo..
Tunaomba wote mjue kuwa kuhusiana na kifo cha wangwe mahakama imeshatoa hukumu na hatunashaka na hiyo hukumu kivyovyote swala la kugomea ubunge ni lake na familia yake............. Cha muhimu tunataka mjue the guy ni maneno mengi sipenditumia Lugha ya kuuzi.
 
Back
Top Bottom