Deus Mallya apigwa mvua 3

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,499
Yule kijana mfanyabiashara Deus Mallya aliye pata ajari na Chacha Wangwe leo ilikuwa siku ya hukumu ya kesi yake amehukumiwa miaka 3 jera..
Habari zaidi zinakuja.
 
Kesi ya mauaji mvua 3?kweli sheria hizi za usalama barabarani zibadilishwe.Wanasheria mnaweza kufafanua sheria iliyotumika?
 
"Duh!hii kali sasa.na baada ya hapo atatoka kwa msamaha wa rais."

MTU KWAO: Ndiyo msamaha wa Rais lazima. Yaani huyu kijana asiyejua kuendesha gari kama alivyokiri hapo awali, ameshawishiwa/amelazimishwa kukubali kwamba aliendesha?
Kuna kitu kinafichwa! Utata mtupu hasa tangu kifo cha ghafla cha yule mendesha mashitaka wa awali -- kifo kilichoelezwa kuwa na utata mkubwa.

Kesi hii imeendeshwa kama vile ya wauwaji wa Amran Kombe mwaka 1996 -- kuna baadhi yao walifia jela na wengine kupatikana na hatia -- lakini hatukuelezwa undani wa sababu ya kuuawa pamoja na kwamba Kombe aliinua mikono kujisalimisha. Hata hivyo hapo awali, mke wa Kombe hakuwa amepangwa kuwa shahidi, ingawa alikuwa eye-witness akiangalia tukio huku akijificha katika shamba la mahindi..

Tunakwenda kubaya sana.
 
Huyu kashitakiwa kwa kosa la kuendesha gari bila leseni nakusababisha kifo kwa hiyo sheria naona imelala kwenye uzembe..........mbona hata wale wa wabus utaona ana makosa 54 lakini anapigwa mvua 2 lakini kaua 26.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…