Deus Kibamba ni nani?

Ubango unaweza kuwa hauko sawa.. Kwani kila mwanaharakati ni chadema? Kila anaetetea maslahi ya wananchi ni chadema?

Kwa sababu ni sifa kubwa ya CDM kutetea maslahi ya umma. Hawezi mtu wa kijani kuwa na sifa hizo.
 
Mi nafurahi wanaposema jamaa nae ni chadema maana inadhihilisha wazi ni jinsi gani Chadema inafahamika kwa kuwa na watu vichwa na wanaowanyima usingizi wengine....kwa sbb imefikia mahali hata Yesu akishuka kutetea nchi hii basi mijinga flan inaweza kusema nae ni Chadema....mwabeja sana.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 

ni kweli mkuu.ni mchumia tumbo tu.
 
Deus Kibamba ni mwenyekiti wa jukwaa la katiba, naomba kuuliza tafuatayo

1. Jukwaa la katiba ni nini?
2. Lina nguvu gani kisheria?
3. Linamuwakilisha nani?
4. Nani kamchaguwa kwenye cheo chake?
5. Background yake ikoje?

Asanteni sana

O level- Malangali Secondary School
A level - Milambo High School
Chuo - UDSM

KAZI
HakiArdhi, TGNP, TCIB na sasa Jukwaa la Katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…