Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Kwa mtu mwenye akili timamu lazima amemuelewa vizuri JK katika hotuba yake inayoonyesha dhamira thabiti ya kuwapatia watanzania katiba inayokidhi. Deus Kibamba ameelewa hilo ni vyema wanaharakati wengine waelewe pia japo hawalazimishwi. Watanzania tuungane kwa pamoja katika zoezi hili la katiba mpya na tusikubali kupotoshwa na wanaojiita wanaharakati. Wanayoyasema na kuyafanya ni sehemu ya ajira zao na bila kufanya hivyo hawapati fedha kutoka kwa wanaowatuma.Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:
1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya
2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA
3. Maandamano si njia muafaka kufikia KATIBA MPYA.
Details angalia Channel Ten muda huu
Lazima katishiwa nyau na inawezekana angalizo pia limetolewa la Mwandosya na Mwakyembe,kwa vile kwa jinsi ninayvomfahamu Deus na hotuba za Kikwete sioni uwezekano katika hali ya kawaida wa Deus kusifia any of Kikwete's speeches.Deus is a very inteligent fellow.Hapa lazima kuna jambo.
Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:
1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya
2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA
3. Maandamano si njia muafaka kufikia KATIBA MPYA.
Details angalia Channel Ten muda huu
Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:
1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya
2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA
3. Maandamano si njia muafaka kufikia KATIBA MPYA.
Details angalia Channel Ten muda huu
Kufuata sheria ni pamoja na kumkubali Rais wetu hadi 2015 tutakapo chagua mwingine wa Chama chochote, pia kufuata sheria ni pamoja na kuyakubali aliyoyasema kuhusu katiba mpya.Ni kawaida ya wapiga debe/tarumbeta duniani. They shout aloud to get heard and gain popularity. Baada ya hapo
wananunuliwa (accommodated) na elite class, na wanageuza tarumbeta zao upsidedown. Kwa hiyo Kibamba hana tofauti
na wengine. Juzi anamponda rais na mchakato wake kuelekea katiba mpya, leo asubuhi anawahi press kumpongeza kwa
aliyoyasema jana jioni-lol! Kesho asubuhi sijui atakwenda wapi ku-shout shout.
Watu hawa kule Ugiriki wakati wa Plato na Socrates waliitwa sophists. Ni wataalamu wa malumbano na upotoshaji. Wanaweza kukuambia "black is white" na ku-difend msimamo huo. Tuachane nao tufuate sheria.