Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Kwa mtu mwenye akili timamu lazima amemuelewa vizuri JK katika hotuba yake inayoonyesha dhamira thabiti ya kuwapatia watanzania katiba inayokidhi. Deus Kibamba ameelewa hilo ni vyema wanaharakati wengine waelewe pia japo hawalazimishwi. Watanzania tuungane kwa pamoja katika zoezi hili la katiba mpya na tusikubali kupotoshwa na wanaojiita wanaharakati. Wanayoyasema na kuyafanya ni sehemu ya ajira zao na bila kufanya hivyo hawapati fedha kutoka kwa wanaowatuma.Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:
1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya
2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA
3. Maandamano si njia muafaka kufikia KATIBA MPYA.
Details angalia Channel Ten muda huu