Desperate single women, acheni complication

Kwahiyo ukipata watu 50 kusapoti ujinga wako ndo unakuwa mwerevu?
kwa hiyo ukiwa peke yako kutetea ujinga wako ni sawa? kumbuka uki comment kwenye ujinga nawewe mjinga! kilichokuleta nini kama sio kiranga chako!
 
Huyo mkalamba hajui asichojua muonee huruma tu.

Anafikiri kwa sababu kila mtu analala chini ya mapango kijijini kwao basi watu wote wanalala mapangoni.
wajuaji mnaungua na jua ku comment topic za wasiojua! absurd matokeo wote tunakuwa walewale
 
wajuaji mnaungua na jua ku comment topic za wasiojua! absurd matokeo wote tunakuwa walewale
Wewe unaeneza sumu ya kuaminusha watu jwamba wanawake wote ni malaya masikini.

Pia unaeneza symu ya kutaka kuaminisha watu jwamba mwanamke akiwa na umri mkubwa ni wajibu awe mteremko.

Wengine hatukubali upuuzi wa kurahisisha mambo hivyo.

Kama kijijini kwenu wanawake wote ni malaya masikini, acha hizo habari kijijini kwenu huko huko.
 
Hata mi naona kuwa Hana analojua na mbaya zaidi anadhani watu wote ni kama yeye, na kama vile hiyo haitoshi hajui kuwa hajui.

Ila nimecheka sana swala la watu kulala chini ya mapango huko kijijini kwao maana hapa sasa ndo tunaona madhara yake.
humu kuna topic kibao! ajabu mmestak kama cd mbovu hapa! si muende kwenye topic zenu mlizoanzisha zenye mashiko!
 
kwa hiyo ukiwa peke yako kutetea ujinga wako ni sawa? kumbuka uki comment kwenye ujinga nawewe mjinga! kilichokuleta nini kama sio kiranga chako!

Hapo bado hujajibu swali.

Nimekuuliza ukipata watu 50 kusapoti ujinga utakuwa mwerevu?
Hakuna mahala nilipoandika kuwa umeandika ujinga
 
humu kuna topic kibao! ajabu mmestak kama cd mbovu hapa! si muende kwenye topic zenu mlizoanzisha zenye mashiko!
Kama ulitaka yako iwe ya watu maalumu si ungewatumia PM
Ama kweli kukataliwa kubaya acha utape utape
 
Kama ulitaka yako iwe ya watu maalumu si ungewatumia PM
Ama kweli kukataliwa kubaya acha utape utape
ilipoti waifungie kama imekosa maadili.wewe haikufai sepa waachie wanaofaa! siwezi kuwatumia pm kwa sababu sikutegemea kama kuna watu hawatapenda iwepo japo hawana mamlaka ya kuzuia.
 
mkuu BOB LUSE taratibu mawe hayo unayorusha gizani kuna watu huku utawajeruhi
 
ilipoti waifungie kama imekosa maadili.wewe haikufai sepa waachie wanaofaa! siwezi kuwatumia pm kwa sababu sikutegemea kama kuna watu hawatapenda iwepo japo hawana mamlaka ya kuzuia.
Sasa usitulazimishe wote kukubaliana na wewe na wala usitupangie mahali pa kuchangia kwasababu internet tunajilipia wenyewe.
 
Sasa usitulazimishe wote kukubaliana na wewe na wala usitupangie mahali pa kuchangia kwasababu internet tunajilipia wenyewe.
sijalazimisha mtu hapa.kama hukubaliani toa maoni yako sepa! sio uanze kumjadili mtoa mada! hiyo ni kazj ya invisible na moderator kama na abuse watu niripoti wanipe ban
 
sijalazimisha mtu hapa.kama hukubaliani toa maoni yako sepa! sio uanze kumjadili mtoa mada! hiyo ni kazj ya invisible na moderator kama na abuse watu niripoti wanipe ban
Huko sasa kujihami.
 
Mkuu natumai ujumbe umewafikia wahusika barabara.
 
Hahahaa kumbe,teh at least mtu mwingine kaona tatizo la Bob,he is all over posting negative topics about women,something must be wrong
Watu wanapenda kujifanya watoa ushauri huku mitandaoni utakuta nyumbani Dada zake wote miaka imeenda wapo wapo tu ila hawashauri,inashangaza kwakweli
 
I like this "an innocent messenger like me" - self defense
 
1.

Asante mkuu Kiranga,

hilo uliloliandika ndio tatizo la wengi, wanataka watu wote wawe kwa namna wanayotaka wao. Dunia ni kubwa, wanadamu ni wengi hivyo inabidi tukubali hizi tofauti katika maisha binafsi ya mtu.
Itakuwa vibuti vingi sana maana amewashambulia vya kutosha..

Ila umepotea sana Kiranga........
 
Nipo mkuu.

Projects kibao tu.

Nimemueleza asilazimishe ujinga wake uwe standard, kaumuka.
 
Labda nikuulize, mtu desperate anakuaje? Mimi nafikiri mtu akiwa desperate ndio anafanya maamuzi bila kufikiri sana na huwa hachagui. Ukiwa desperate nakwambia ukiwa na shida kitakachokuja mbele utakichukua tu kwasababu huna namna.

Sasa ukiona mtu anachagua,anaweka vigezo vyake huwezi tena kumuita DESPERATE.
 
! lakni wenzio wanaangalia performance sio maumbile!
Muone huyu.... Ndo unavyojidanganya hivyo? ? Unapata Confidence kusema maumbile ya watu kisa hujawahi kusikia yako yakisemwa? Au tuanze kukuchambua kila kona uone jinsi watu wanavyokula kobis wakikuona...

Grow up wewe kivulana.

Leave the women alone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…