Mwanamke mwili wake, maisha yake, ana uhuru wa kuamua nani awe naye.Take time to read and view other people comments&video then come we discuss.
you sound confused! au ndio kiranga chenye? sijampangia mtu cha kufanya! kama ni ushauri unachukua kama unakufaa kama haikufai unauacha! ukipangiwa ina maana ni jambo la lazima. plz reason properly otherwise watu wote wangekuwa wanakuja jf kupangiwa!Mwanamke mwili wake, maisha yake, ana uhuru wa kuamua nani awe naye.
Wewe unaanzaje kupata uhuru wa kufikiri unaweza kumpangia nani awe naye?
Hata ushauri inabidi utoke kwenye reason.you sound confused! au ndio kiranga chenye? sijampangia mtu cha kufanya! kama ni ushauri unachukua kama unakufaa kama haikufai unauacha! ukipangiwa ina maana ni jambo la lazima. plz reason properly otherwise watu wote wangekuwa wanakuja jf kupangiwa!
huwezi kujadili bila kutukana? mbona wengine wanachangia vizuri na mada imewavutia?!Hata ushauri inabidi utoke kwenye reason.
Ukiwapa watu ushauri kunya katikati ya barabara tutakuona mwehu.
Sasa wewe unayetoa ushauri wa wehu wa kumtaka mwanamke awe na standards kwa sababu tu wewe kwa fikra zako umeziona sawa, bila kufikiria huyo mwanamke mwenyewe anataka nini na ana uuru gani, unakosaje kuwa mwehu?
wanakuwa desperate kwakuwa it is.do or die,huko nyuma walikuwa wanakula ujana hawakamatiki!.Hii vita naona haitakuwa na mwisho...!
Lakini, kwa nini wawe desperate? Kwani huko nyuma, say 26-yrs walikuwa wapi? Au ndio wrong choices hizo...
Ukipiga nao story sasa.... waongo kama nini, afu wasahaulifu...wanasahau jana walisemaje...teh teh!!
huwezi kujadili bila kutukana? mbona wengine wanachangia vizuri na mada imewavutia?!
unajidhalilisha kwa kupinga kitu ambacho kuna watu wanakubaliana nacho na wana experience nacho!
sio lazima ucomment kila topic kama huna hoja au huvutiwi nao.
moderator na invisible wangefuta huu uzi ungekuwa na wasifu unaotoa
hata kama una kiranga tafuta pa kukipeleka.
pinga kistaarabu kwa hoja! sio kutukana! ukitukana inaonyesha uwezo wa akili yako wa kufikiria umegota.hata waliochangia wengine hakuna aliyetoa lugha za kuudhi kama zako!Kupinga kitu ambacho wengine wanakubaliana nacho ni kujidhalilisha?
Kwa hiyo wewe unavyopinga kile ambacho mimi ninakubaliana nacho unajidhalilisha?
Acha uongo.siriazi nakuambia 45 mwanaume kwisha habari yake
Ungejua ustaarabu na hoja ungejua kwamba kutaka mwanamke aishi kwa standards zako bila kujali yeye anataka nini ni chauvinism.pinga kistaarabu kwa hoja! sio kutukana! ukitukana inaonyesha uwezo wa akili yako wa kufikiria umegota.hata waliochangia wengine hakuna aliyetoa lugha za kuudhi kama zako!
pole kumbe na wewe ndo walewale!. nitajie standards nilizowapangia. you might be confused but dont confuse othersUngejua ustaarabu na hoja ungejua kwamba kutaka mwanamke aishi kwa standards zako bila kujali yeye anataka nini ni chauvinism.
Ni ubeberu na ushenzi.
So much for your ustaarabu.
Wewe umeleta habari ya kuwanyanyapaa wanawake kwa sababu wana umri fulani, ukifikiri watakuwa mteremko kwa sababu ya umri, habari ya kishenzi kabisa, halafu unataka kunifundisha ustaarabu mimi?
Nikutajie mara ngapi?pole kumbe na wewe ndo walewale!. nitajie standards nilizowapangia. you might be confused but dont confuse others
We ni muhanga???Naona post yako imejaa tuhuma nyingi kuliko ushauri.........
Anyway, kila mtu na maisha yake, we all face challenges in life regardless of our marital status.....
Huyu jamaa ni katika watu fulani ambao wanaendekeza umasikini na unyanyapaa wa kusema kwamba mwanamke akifika umri fulani ni wajibu wake kuwa mteremko tu.Naona post yako imejaa tuhuma nyingi kuliko ushauri.........
Anyway, kila mtu na maisha yake, we all face challenges in life regardless of our marital status.....
Wahaaanga ni wengiUngejua ustaarabu na hoja ungejua kwamba kutaka mwanamke aishi kwa standards zako bila kujali yeye anataka nini ni chauvinism.
Ni ubeberu na ushenzi.
So much for your ustaarabu.
Wewe umeleta habari ya kuwanyanyapaa wanawake kwa sababu wana umri fulani, ukifikiri watakuwa mteremko kwa sababu ya umri, habari ya kishenzi kabisa, halafu unataka kunifundisha ustaarabu mimi?
Wahanga wa vibuti ambao walifikiria kwamba mwanamke kuwa na umri mkubwa ni kigezo cha kuwa mteremko?Wahaaanga ni wengi
Ujajibu swaliWahanga wa vibuti ambao walifikiria kwamba mwanamke kuwa na umri mkubwa ni kigezo cha kuwa mteremko?
Siwezi kujibu swali ambalo halipo.Ujajibu swali
kusema ukweli umenichekesha, nimekumbuka ile kitu wanawake wanasema mwanaume pesa bhana sura tutavumilia mie mbavu sina.money speak my dear! men can only be lonely when they are penniless dead meat