Bro unapaswa ujue socket ya desktop yako. Check model ya hiyo cpu hapo halaf check hayo meno halaf kafungue desktop yako ufananishe kama yanafanana bas waweza upgrade. Muhimu ujue socket type kwanza kabla ya kununua.