Desktop hii hapa (picha)

Desktop hii hapa (picha)

lwampel

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
249
Reaction score
55
Habari zenyu wakuu, Nauza desktop Dell GX270 PENTIUM4(PICHANI) Hard disk 40GB, processor 2.8GHZ, Ram 512MB, DVD room. nauza pamoja na kila kitu chake (monitor ya chogo) bei ni 160K. Haina tatizo lolote. kama mzigo umeuelewa nicheki kupitia 0752490238.Nipo Dar, Ahsante!
 

Attachments

  • Image001.jpg
    Image001.jpg
    175.2 KB · Views: 302
  • Image003.jpg
    Image003.jpg
    118.2 KB · Views: 258
  • Image009.jpg
    Image009.jpg
    247.6 KB · Views: 253
  • Image007.jpg
    Image007.jpg
    170.7 KB · Views: 247
  • Image005.jpg
    Image005.jpg
    152.4 KB · Views: 229
Hii si ukatoe Zawadi! Unaweza ukaipeleka kwenye kituo cha kulea Watoto yatima ama maeneo mengine kama Zawadi.
Nicheki kwa hizo namba nikuelekeze kwangu uje nikupe wewe kama zawadi. we si unapenda vya kupewa!?
 
hahahaha.. Dah.. Watu wakorofi sana aisee

mkuu watu kama hao wenye roho mbaya duniani wapo wengi sana, yaani wao sikuzote wanawaza jinsi gani wanaweza kuwaudhi au kuwakatisha tamaa binadamu wenzao ktk maisha
 
Mkuu mzigo nimeusoma, pia nafikiri hao wanaosema mbovu hapo juu hao hawajui umuhimu wa hiyo kitu, mimi itanifaa kwa kazi zangu za ofisini ila ntakupa 130K, Ili kiasi kingine nikachukue monitor flat. Au unasemaje?
 
Computer imewekwa kwenye meza ya TV!!! Sasa mouse inawekwa wapi?
 
Hahaha, aisee. Na kuisafirisha kutoka huko nkasi ulipo hadi hapa anagharamia nani?
 
Mkuu mzigo nimeusoma, pia nafikiri hao wanaosema mbovu hapo juu hao hawajui umuhimu wa hiyo kitu, mimi itanifaa kwa kazi zangu za ofisini ila ntakupa 130K, Ili kiasi kingine nikachukue monitor flat. Au unasemaje?

nikikupa na monitor flat 21ich utatoa shngapi?, alafu ni poa ukanipigia tukaongea mkuu hapa mwenyewe si unaona wachawi wengi!?.
 
duh! si mchezo, kitu cha p4, zamani sana! siku hizi at least duo core zinapatikana kwa chini ya laki, nakumbuka nilishawahi kununua mitungi kama hii mitano kwa laki saba kila moja!..tumetoka mbali.
 
Habari zenyu wakuu, Nauza desktop Dell GX270 PENTIUM4(PICHANI) Hard disk 40GB, processor 2.8GHZ, Ram 512MB, DVD room. nauza pamoja na kila kitu chake (monitor ya chogo) bei ni 160K. Haina tatizo lolote. kama mzigo umeuelewa nicheki kupitia 0752490238.Nipo Dar, Ahsante!

Mkuu hicho chumba cha DVD kina size gani?
 
kitambo sana yaani du kama ndoto hata stationary wameshaanza kuzidis hizi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom