Nauza kompyuta desktop dell Tsh 85,000

lwampel

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
249
55
Nauza used desktop dell(pichani).
Hard disk 40GB
Ram 512MB
Processor 2.8Ghz
DVD Rom.
Pentium 4
Nb. Haina screen. nakupa kompyuta, mouse, keybody na cable zake tu.
Bei ni shilingi elfu themanini na tano tu.
Waweza piga au kutuma mesj
0718 964795 downloadfile-2.jpeg
downloadfile-2.jpeg
 
nahisi hujaelewa maana ya kompyuta naona umechanganya

Hawa ndio wale waliojazana Kariakoo na Mitaani wakitupigia makelele na madesk top hawajui chochote kwenye Computer zaidi ya kuwasha na kuingiza nyimbo kwenye simu basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom