Desktop Computers 20 zinahitajika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Desktop Computers 20 zinahitajika!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Logo, Jun 3, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hallo,
  Nahitaji Desktop computers 20 kwa ajili ya shule yangu. Ziwe na
  1. Ram kuanzia 512
  2. HDD kuanzia 60.
  3. Full set yenye flat screen monitor.
  4. Kwa aliye tayari anipangie bei!

  PM tu nitakujibu! Asante.
   
 2. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kuna sehemu zinapatika used kwa 370,000 ila ni nzuri sana. Je unataka mpya kabisa au used?
   
 3. G

  G4-Pune Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naweza kukupa PC 9 kwa 550,000 Tsh zipo Arusha tayari kwa 20 au zaidi utapata baada ya wiki mbili tuwasiliana zaidi, ni used PC na ziko kwenye condition nzuri sana no scratch kwenye screen. Angalia attachment hii. View attachment Dell Optiplex 620.zip

  ---------------------
  Dell Optiplex 620
  ---------------------

  Pentium 4 (2.8GHz HT) Processor
  1 Gb RAM
  80 Gb HDD SATA
  CD/DVD
  Gigabit NIC
  High DEF Audio ports
  17" inch LCD monitor
  Dell Keyboard
  Dell Optic
   
 4. z

  zamlock JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  pliz ni email kwa pressdown@hotmail.com tupeane mawasiliano alafy nikusaidie na tena nitakuwa fundi wa kuangalia mashine zako yani usipoteze muda mkuu nitumie email tuwasiliane
   
 5. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mbona kimya mdau, piga 0784 419030
   
Loading...