WOS
usisahau pia baada ya kufanya hiyo plastic surgery ya punani nerve endings zinaweza zikapungua nguvu zake au kufa kabisa na mama asiwe anahisi chochote wakati wa tendo la ndoa. SteveD hata wanaume wako pia wanaojuta baada ya kufanya hayo madudu. Wengine wakishafanya basi shughuli hazisimami tena hapo unaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu, unarudi kwa daktari anahangaika nayo lakini hakuna improvement yoyote ile.
Moja: Kwanini kutairiwa ni tofauti?Kutairi na kuongeza life span ya wanadamu kwa maoni yangu ina tofauti kubwa sana na kuweka matiti ya bandia, punani ya bandia au kuongeza nanino ili iwe ndefu, nene n.k. Haya ni mawazo yangu tu lakini wengine wanaweza kabisa kuona kufanya mambo hayo hakuna matatizo yoyote. Imagine mama anakwambia nani hii yangu siyo real ni fake niliyokuwa nayo nilikuwa siipendi inavyoonekana nikaamua kuibadilisha. Sijui wewe, lakini mimi hapo nitaingia mitini jumla jumla 🙂🙂🙂
Have a good weekend to all of you 🙂
WoS, nakubaliana nawe katika hilo kuwa huyo alichofanya katika umri huo aliokuwanao katika mazingira tuliyoyazoea ni kama ujuha vile. Lakini naomba kukuuliza, kama tatizo ni umri; je ni umri gani ambao unge/unakubalika kufanya hivyo?
Sawa WoS, nakubaliana na hilo... ila swali langu ni kwamba, je kufanya hivyo kwenye umri ambao unaukubali/unakubalika (kama upo) ni jambo lisilofaa kwa mwenye uwezo , nia, mahitaji.... au laa?Unajua SteveD,
Kuna stage katika maisha mtu awe mwanamke au mwanaume anajikuta ana crisis na mwili wake mwenyewe - anakuwa haridhiki na jinsi alivyo kama ni mfupi angetaka awe mrefu au awe mnene zaidi au mwembamba.. awe na uso smooth usio na chunusi..awe na nywele nzuri.. awe na kifua kipana kwa wanaume nakadhalika.Hiki ni kipindi cha transition from puberty- to young adaulthood .Mtu anapo mature zaidi inabidi aanze kujikubali mwenyewe japo wengine wanakuwa bado hawajikubali. Hiki ni kipindi kwa wenyenazo huanza kutumia pesa "kujikarabati" hasa kwa vipodozi nakadhalika. Kwa wenzetu huko nchi zilizoendelea zaidi ndio unakuta kuna extremes za kuingia kwenye surgery.Japo kwenye show ya Dr 90210 nimeona vijana wadogo pia wakifanyiwa hizo operation kubadili sehemu mbalimbali za miili yao kama pua na hata hizo nyeti zao, na wengine wakipewa financial support na wazazi wao.
Mtu akibahatika kufikia umri mkubwa sana na akiwa yuko obsessed na urembo - basi atakuwa amejiweka vizuri tu na kuzeeka gracefully bila kuhitaji upasuaji. It is ridiculous to me for 70 year old to look like a 20 year old!
Sawa WoS, nakubaliana na hilo... ila swali langu ni kwamba, je kufanya hivyo kwenye umri ambao unaukubali/unakubalika (kama upo) ni jambo lisilofaa kwa mwenye uwezo , nia, mahitaji.... au laa?
Ni suala la kufanya cost benefit analysis na assessment of the risks involved as you know surgery is risky.Ukiona inafaa so be it....kama inakuongezea faida fulani iwe ni boosting of self-esteem ..go for it!
Nadhani ni uamuzi binafsi
Haya hata Tanzania yapo ila yanafanyika kifamilia zaidi na kwa njia za kijadi.
Moja: Kwanini kutairiwa ni tofauti?
Haya yanayofanywa kwenye punane (p***y) ni sawa na wale wanaume wanaoongeza mijenenge yao kwa waganga au hata surgery
dont tou guys think so?
---wana li-ignore hilo, lakini kwa vile baadhi ya wanawake wameamua kufanya kama hiyo habari juu inavyoeleza, basi kila ubaya umeanza kuonekana!!!
---think about it, kama mwanamme anakuwa na mapungufu ya aina fulani katika uume wake, halafu anapatikana daktari wa kumsaidia kinamna kisha mwenzi wake anaanza kuridhika zaidi ya hapo awali... jambo hilo likielezwa litakuwa ni jambo chanya kwa wengi, wanawake kwa wanaume. Lakini hichohicho kikifanyika na kwa lengo hilo hilo kwa upande wa mwanamke.... watu wataanza kusema oooh, matiti feki...mara oooh nywele bandia... n.k.
---drawing a line kwenye mambo haya ni vigumu.