Design Failure: Bagamoyo Road eneo la Samaki wabichi

Ile barabara ni jipu bivu ukitaka Kuchepuka na gari hakuna aside exit
Siyo tu kuchepuka,hata gar likikuharibikia njian unaliacha hpo hapo mpk fund aje na km ukikuta Distance ya ulipoharibikiwa na kituon mbal bas itakua kero kubwa sn kwa wengine.Yaan huwez kuweka gar pemben kama tulivyozoea.Hapo Samak njia ya kwenda Masanah ni Tatizo La miaka sasa.
 
Maji yamejaa upande wa juu, hali ikoje upande wa pili? Upande wa uelekeo wa bahari.
Hiyo barabara inaelekea ni kama tuta la kuzuia maji kupita.
Upande wa pili huwa hauna matatizo.
 
Mvua ya leo ilikuwa kubwa sana
 
Vitu viwili vyafaa vifanyike Dam, moja dsm ifumuliwe ijengwe upya gharama yake kubwa sana, mbili ijengwe new dar es salaam maeneo ama ya Bagamoyo unganishe mpaka msata au kisarawe unganishe na kibaha au temeke kwenda ikwiriri. Hapa nikuamua tu kubaki kama ilivyo au kujenga dar mpya.
 
Hapo kushoto kama unaenda tegeta, ndio road ya kwenda Goba Cape Town, Mji wa mahewa tulivu
 
Ni kwamba umeshindwa kuchangia kwa lugha ya taifa! Lugha yako uliofanyia mitihani unaielewa sana kuliko lugha yako unayofanyia kazi na kuzungumza kila siku!
 
Ni kwamba umeshindwa kuchangia kwa lugha ya taifa! Lugha yako uliofanyia mitihani unaielewa sana kuliko lugha yako unayofanyia kazi na kuzungumza kila siku!
Hata suject matter imempita kwa mbali!
 
Wengi wamejaribu kujenga hoja kuwa siyo design failure bali tatizo Tatizo ni njia za kupitisha maji ya mvua wengine kwani watu wamejenga kwenye njia za sili za maji ambazo zinakwenda moja kwa moja baharini hivyo hata kama wakiweka Madaraja ni kazi bure kwani hayo maji hayawezi kuedelea na safari, hivyo kuwalaumu TANROADS ni kuwaonea, wkt bomoa bomoa watu walilia sana kwamba siyo ubinadamu lkn lengo lilikuwa ni hilo kwamba waliojenga kwenye njia za maji wote wabomoe ili kuepusha hilo tatizo!

nikubaliane na mleta mada na wachangiaji wengine kuwa ni kufeli design. Design failures is failure modes of a product or process (including their associated causes and mechanisms)
 
Ni kwamba umeshindwa kuchangia kwa lugha ya taifa! Lugha yako uliofanyia mitihani unaielewa sana kuliko lugha yako unayofanyia kazi na kuzungumza kila siku!
Wewe utakuwa ni NGWINI!
Unashangaa lugha ya mitihani niliyotumia halafu unachangia topic yenye kichwa chenye lugha ya mitihani ("Design failure"). Kweli wewe ni "ngwini" senseless!
 
Lini unataka tuanze kubomoa huko.mbezi beach ili tuache njia ya maji wazi!
 
Exact kuu!
Thats a holistic approach to design.
Kuna watu wanafikiri mradi lami ya barabara ni nzuri basi design ya pale haina matatizo.
Kumbe failure inatokea sehemu nyingine kabisa , na failure hii itaibomoa barabara nzima.
 
Mvua ya leo ilikuwa kubwa sana
Baada ya jana kukaa kwenye foleni kwa masaa kadhaa nimeurudis uzi huu kuweka maoni.

Hakuna kumung'unya maneno, barabara ya Bagamoyo ni bomu!
Safari hii pale Afikana/Salasala maungio palikuwa hapapitiki.
Walioipokea barabara hii watumbuliwe jipu!
 
10% za mkweree zitatuangamiza; na hiyo barabara ndio inakwenda kwao Bagamoyo!! Kule Msata barabara aliyopewa Subash Patel kujenga ikoje wakati huu wa mvua?
 
10% za mkweree zitatuangamiza; na hiyo barabara ndio inakwenda kwao Bagamoyo!! Kule Msata barabara aliyopewa Subash Patel kujenga ikoje wakati huu wa mvua?
Tuwe fair, hii barabara ni msaada wa serikali ya Japan kwa Tanzania na haina uhusiano na kodi zetu za ndani.
Tatizo ninaloliona ni jamaa zetu wa naohusika kupitia mikataba hawakufanya hivyo.
Hawakuisahihsha hiyo design iendane na hali halisi, na wao ndio wenyeji hapa nchini na wanajua barabara zote.
Sasa ni aibu tupu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…