Ng'adu kwa ng'adu mpaka kieleweke.Vijana tuwe makini ukimwi upo
Bila shaka utakuwa Dar.Kuwa makini sana unapo tembelea mikoa hii,
ukimwi upo nje nje ;
wataalamu wanasema Virusi vilivyopo ktk mikoa hii ni hatari zaidi kuliko.
Njombe, Iringa, Mbeya, Mwanza, Kagera, Katavi, Shinyanga, Songwe, Ruvuma, Pwani, Tabora, Tanga, Dodoma na Geita.
Mi sipimi ng'osijui nikapime leo.
Jumamosi nilitaka kwenda kupima pale hospital ya parestina.nikaambiwa wale wa kupima bure hawajaja nilishukuru.
Akaniambia nikapime kwa dokta.nikaona ujinga huu.yaani nitoe hela kupima ukimwi hela yangu alafu nikutwe nao
Usiseme hivyo.kuna wanawake Wana misimamo.mimi nilipelekwa bila kupenda.Mi sipimi ng'o
Hongera mkuu, sasa endelea kujilinda, ukimwi unaua, Ukimwi ni ugonjwa hatari.Msiogope kupima Wakuu kujua hali yako ni vyema zaidiView attachment 2029635