Mahari kwa siku hizi sio issue sana.. Na kwanza sio lazima utoe mahari yote. Si unajua concept za mahari haitakiwi kutolewa yote
kwenda zako....teddy bear la nini kitandani mtoto wa kiume......
Afu ukute analo lile kubwaaa kama mtu,lenye manyoya laini afu la Kike.
sina bed
Unalala wapi?
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
kwa sasa sina sehem ya kulala, mwanaume halalagi