Derevaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

Bettina

Senior Member
Joined
May 3, 2009
Posts
102
Reaction score
24
Dereve mmoja kwa jina MIKE alikuwa anampeleka boss wake Airport. Njiani Boss alikumbuka kuwa amesahau document muhimu sana hivyo alimwamrisha Mike amrejeshe haraka nyumbani aifuate hiyo document.

Walipofika nyumbani Boss alimkuta mkewe yuko bafuni anakoga na amejipaka sabuni
usoni. Kwa mapenzi mumewe alifungua mlango wa bafuni na kumshika makalio na ndipo mkewe alivpojibu,

''MIKE ushamfikisha huyo mpumbavu airport kwa haraka hivyo. Usiwe na haraka tutakuwa na raha weekend yote hii kwani tutakuwa wote LAAZIZ wangu.

Mkewe boss akaona kimya akaona kulikoni?Aliosha uso wake na mara akamwona mumewe??

Jamani kilichoendelea mimi sijui…………..Unadhani safari iliendelea?




 


 
wanawake ndio mjifunze kutokufanya mambo kwa mazoea mtaumbuka!!!!!!!!!!!!!!!
 
aisee! kwanza sisemi kitu, wala cpgi story na dereva. nikirudi safari talaka kwa mke na naomba kubadilishiwa dereva
 
Atabaki kuwa mke wangu jina tu, no sex atall!
 
Kweli hakuna siri ya watu wawili!! namhurumia Mike hana hili wala lile kibarua kimeota nyasi hvhv
 
Inatakiwa iwe shule, Ujiulize ni kwa nini mkeo anfanya hivyo ili urekebishe,baada ya kupima ukimwi na kukuta ni shwari

Utaoa wangapi????? kama wewe ndio chanzo Je????????
 
Ukipata ujasiri wa kumsamehe mke itakuwa "adhabu" nzuri kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…