Dereva wa taxi na mke wa mtu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dereva wa taxi na mke wa mtu.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkubwa Jalala, Oct 26, 2012.

 1. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna bwana mmoja aliambiwa mke wake yupo na mtu mwingine gest fulani chumba no. 7. Akakodi Taxi mpaka hapo gest akampa deleva wa Taxi hela yake na ya ziada na picha ili akamletee mkewe kwa namna yoyote. Baada ya deleva kuingia humo Gest akatoka na mwanamke akiwa anamvuta nywele mpaka kwenye gari. Yule bwana akasema huyu mbona siyo? Deleva akamwambia huyu ni mke wangu nishikie nikamfate mkeo.
   
 2. Isaac JK

  Isaac JK JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh si madereva tuna tabu
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1:
   
Loading...