Tujiulizesana kwanini amekimbia kamajali yakawaida iweje akimbie
Nani alimtumakwenye ajali??
Tujiulizesana kwanini amekimbia kamajali yakawaida iweje akimbie
Nani alimtumakwenye ajali??
wanajamvi mimi nilisikia habari kama hizi za dereva kukimbia baada ya ajali, nikawasiliana na mmoja wa mwanachama wa simba tawi la mpira na maendeleo (ukawa) ambaye alikuwa tawini katika kushughulikia mambo ya msiba akaniambia dereva ni miongoni mwa waliofariki.
mpwakashawafikisha alippotumwa lohhapana mkuu kwa taarifa iliyotolewa na rpc wa morogoro ni kuwa wanamtafuta dereva alikimbia, na inaonekana hakuwa na uzoefu na safari ndefu kwani inaonekana hiyo sehemu ilikuwa hakuna kitu chochote mbele labda kilichopelekea hadi kuacha barabarani, ila kulikuwa na mvua kidogo.