Ninatafuta dereva wa pikipiki ambaye atakuwa anafanyia kazi mjini na sio pembezon mwa mji ,pikipiki yenyewe ni aina ya boxer.ipo vizur sana
Masharti ya dereva
Awe na reseni ambayo haijaexpire
Awe na mashahidi
Awe anamakazi maalumu ya kuishi tuwasiliane kwa pm au kama unandugu ambaye yupo vizur haina tatizo tunawasilianaa