Dereva wa Mkuu wa Mkoa

Smile unaitwa huku muda sasa huonekani.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Huyo dereva yupo Mkoa gani?

Tanga mamii.........enzi hizo JF ilikuwa motomoto kweli kweli.......matrip ya kufa nyani.........Dar. - Chugga - Tanga..........ilikuwa ni sheeeeeder................members wa kila aina........tunakula bata mpaka kuku wanashikwa na mdondo..........wacha kabisa.........

Mwaka huu Desember tuna safari ya Pemba Mozambique........utatujoin.......?
 

Umemweleza vizuri sana, sasa aje amuone huyo dereva
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…