Dereva wa halmashauri vs Dereva wa Mahakama

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,504
Reaction score
8,253
Wakuu, kati ya hao wawili yupi ana mslahi mazuri, sababu kuna kila dalili za kutoboa interview ya iliyoanza Jana ya Mahakama, na hapohapo nishahakikishiwa na mkurugenzi ndugu yangu wa halmashauri moja hivi hapa nchini ambako nimetuma maombi kwamba kazi ipo.
 
Mahakamn pagum mkuu, safar hakuna.. Vikao vinafanyika apa apa dodoma.. Kama ni jumuishi basi wana connect wanafanya kwa mtandao.. Halmashaur wengi wana safari, overtime kila siku.. Hufi njaa
 
Sasa siri zako zimekushinda kutunza sijui siri za ofisi na huyo Boss atakayeendeshwa na wewe kama zipo salama.
Hakuna Siri yoyote uliyogundua hapo, hujajua huyo mkurugenzi ni nani wala Mimi ni nani, na kingine mie mwenyewe nimeuliza kwa niaba, bwana mdogo ndo yuko kwenye mchongo huo.
 
Wazee wa Plug 😂😂😂 ikitiki we nenda kokote tu mshahara ni ule ule 350K utachofaidi ni kuchepukia barabara ya mwendokasi tu muda unapomuwahi boss!
 
Hakuna maslahi ya maana kote kwanza huko huwa wanaazimana madereva uishangae ukakuta Askari magereza anaondoka kituon kwake naenda kufanya kaz ha kuendesha gari ya mahakama
 
Wakuu, kati ya hao wawili yupi ana mslahi mazuri, sababu kuna kila dalili za kutoboa interview ya iliyoanza Jana ya Mahakama, na hapohapo nishahakikishiwa na mkurugenzi ndugu yangu wa halmashauri moja hivi hapa nchini ambako nimetuma maombi kwamba kazi ipo.
Swali lako ulitakiwa uliweke hivi, kati ya mahakama na halmashauri wapi kuna wizi wa mafuta kwa madereva?
 
Hakuna Siri yoyote uliyogundua hapo, hujajua huyo mkurugenzi ni nani wala Mimi ni nani, na kingine mie mwenyewe nimeuliza kwa niaba, bwana mdogo ndo yuko kwenye mchongo huo.
Kama huyo mkurugenzi ameongea na "bwana mdogo" tu (kama sio wewe). Unadhani akisoma post hii anapata picha gani? Kulikuwa na tatizo gani kuuliza bila kutaja uhusiano wako na huyo mkurugenzi?
 
Kwani wewe unaona amepata picha gani? Na umejuaje amepata picha hiyo? Kwan nisingetaja uhusiano naye ndo ingekuwaje?
 
Mimi ni dereva na nina washikaj zangu madereva kwenye hizo tasmadisi zote mbili ila mahaka aiseee kule ni balaaaa na kingne kuhama mahakana ni kama kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi so bora local govement kidogo unaweza ukatusua mahakama labda kumhebdesha jaji na kama ni dereva mgeni ni kazi sana na hao majaji wanakaa na kila kitu kuanzia hela ya mafuta mpka per dm anakulipa yeye
 
Back
Top Bottom