Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
| ||
mke wa mtu ni sumu na wote tunjua kazi ya sumu!
Cha mtu mavi jamani,wanaume tumezoea kuchukua wa watu,tukichukuliwa ni balaa!
R.I.P Dereva wa bodaboda,Mpanda.
haramu tamu
On FF behalf, acharazwe 100 lashes. Hakati ile kitu coz still anatakiwa aende haja ndogoFaizaFoxy comment,..tafadhali mtu akiiba anakatwa mkono, akifumaniwa je ....
On FF behalf, acharazwe 100 lashes. Hakati ile kitu coz still anatakiwa aende haja ndogo
viwembe wote wa jf mmeona hii kitu?mmeisoma nyie wapenda nyumba ndogo? Wapenda uzinzi tena na wake za watu? Msahara wa dhambi ni mauti.
Sikujua hiki kitu ina thamani kubwa kiasi hicho hata uhai haufui dafu..................lol
lakini kumtoa roho mwenzio si unajichumia dhambi za bwerere tu?