Dereva wa Boda Boda Chapombe

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,696
2,553
Ilikuwa ni mbilinge mbilinge za kutambua vipande vya miili ya wapanda piki piki na vipande vya piki piki baada ya boda boda kuivaa Scania pasu kwa pasu.

Mlevi alikuwa anatoka bar kukata mayi, akiwa chakali akaona hawezi fika home vibaka watamdandia mitaa ya kati akaita boda boda. Kumbe na dereva naye alikuwa amestua kidogo (Mo ya mafumu, pombe ya kimalawi Tshs.150 tu), sasa ile kuingia barabarani jamaa kapanga gia zimekubali ile kustuka wakaona taa mbili zinakuja.

Dereva akaanzisha story hawa jamaa vipi yaani wanakuja sambamba na wanazingua kweli na taa zao, abiria akamwambia kama vipi pasua katikati yao tusepe kwaninini, jamaa akamwambia ndio maanaake. Mwanangu kumbe ilikuwa semi na imekubali na sio boda boda mbili, utajua mwenyewe nini kimetokea.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom