Natafuta dereva wa bajaji kwa hapa Dar es salaam. Bajaji zipo mbili maeneo ya Temeke Mwisho, dereva awe mwaminifu na hesabu kwa siku elfu 15,000 .
Mdhamini mmoja muhimu, kwa maelekezo zaidi piga 0713 393 591 au zymiwa@hotmail.com
Ahsanteni.
Mdhamini mmoja muhimu, kwa maelekezo zaidi piga 0713 393 591 au zymiwa@hotmail.com
Ahsanteni.