Dereva Taxi.

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,925
Kuna dada mmoja aliingia kwenye taxi kama alivyozaliwa. Akamuuliza dereva "unashangaa nini hujawahi kuona uc..i?" dereva akajibu "sishangai uc..i wako ila najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeweka wapi?"
 
Si alijifanya mjanja? kapata mjanja kuliko yeye. lol
 
nimepotea huku sio kwenyewe kabisa, khaaa!
 
ha ha ha ha... Ila ishawahi kuwekwa hapa hii
 
dahhhhh hi noumaaa mbavu 2 zimevunjika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…