Habari!
Mimi ni Ben - Dereva mzoefu na Nina akaunti ya bolt na farasi pia nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Kwa umakini WA Hali ya juu, Natafuta Gari ya Mkataba kwaajili ya kutumia kwenye Bolt na rides zingine Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu binafsi au Kampuni, Naomba ushirikiano Wapendwa Kwa wenye nafasi.
Namba zangu Hizi:
0614424736