DEREVA NA FUNDI

DEREVA NA FUNDI

msema_kweli

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
178
Reaction score
102
Mimi ni kijana umri miaka 33 ni dereva mwenye leseni daraja c kavu nimesoma NIT na nifundi magari makenika level 1 nimesoma veta ninao ujuzi wa kutosha kwenye ufundi na udereva niko tayari kufanya kazi popote Tanzania ili mradi maslai yawe mazuri,No 0784 619897
 
Natamani ningekusaidia ila i have nothing to do maana mm ni kama ww tuu ila all the best katika hilo tupeane tuu moyo!!
 
Back
Top Bottom