chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,369
- 27,785
pole yake hiyo ni landcruser sio watercruser
hahahaha, ni cruiser mkuu! Thanks in advance
pole yake hiyo ni landcruser sio watercruser
Yaani baada ya maji kupungua walimshusha na baada ya dk 5 akapoteza fahamu na hivi ninavyotoa taarifa hii bado yupo karatu lutheran hospital akiendelea na matibabu
Weka picha
kuna mechanism ndani ya mwili inaitwa reflex actionkwenye hatari kila mwili ni mwepesi kumbe