Dereva wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa juu ya mti baada ya gari alilokuwa anaendesha kusombwa na maji katika
aisee ana bahati pole zake na ubonge waje kapanda juu ya mti
duh!pole zake zimfikie!
Mtu wa aina hii akikuta unakata mti wallah anaweza kukuua!!!
Mtu wa aina hii akikuta unakata mti wallah anaweza kukuua!!!
hahahahhahaaaa hapo hata Vitendea kazi vyote vimesinyaaaaaaaakwenye hatari kila mwili ni mwepesi kumbe
hahahahhahaaaa hapo hata Vitendea kazi vyote vimesinyaaaaaaaa
Daa,ogopa sana maji...