Dereva amefuata Google maps

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,102
6,952
60e50673549696de6b5bc036f7aa021c.jpg
 
Mi nilishawahi Kufuata Google Map Bhana Nilikuwa naelekea NACTE pale ... Ikawa Inanielekeza Vizuri Tu Mara Industrial Way naifuata.. sasa Ikaniambia Kupiga Kona Nikapiga...

Cha Kushangaza Naona Geti la NACTE na Bango la Kuingilia Yenyewe Inaniambia Nizunguke Nyuma Ya JeNgo ndo Kuna Mlango
 
Hopeless kabisa saa nyingine ila pia inachangiwa na uingizaji wa details.
 
Mi nilishawahi Kufuata Google Map Bhana Nilikuwa naelekea NACTE pale ... Ikawa Inanielekeza Vizuri Tu Mara Industrial Way naifuata.. sasa Ikaniambia Kupiga Kona Nikapiga...

Cha Kushangaza Naona Geti la NACTE na Bango la Kuingilia Yenyewe Inaniambia Nizunguke Nyuma Ya JeNgo ndo Kuna Mlango
Ahahaha kweli mkuu hiyo siku mwenyewe nilishangaa,kukata kona tu geti hili hapa nikaamua kuweka simu mfukoni tu.
 
Back
Top Bottom