Dereva Alipona Hapa!!

...hivi balozi wa kichina amesha maliza mikutano na ccm,ningemuuliza maana hicho kichina sikielewi, loh..!
 
dah kuna watu wana bahati ya kupewa second chance maishani na mola,,,,,,,acha kabisa.
 
Huyu bwana kama alipona kweli, kama alikuwa atheist lazima alibatizwa siku hiyo kiyo!!!!!
 
Huyu bwana kama alipona kweli, kama alikuwa atheist lazima alibatizwa siku hiyo kiyo!!!!!

Kuna uhusiano gani hapo kati ya ajali na kurenounce atheism?

Ushawahi kumsikia mtu anaitwa Primo Levi?
 
ni kama picha mbili tofauti hivi au ni imani yangu ya Tomaso?
 
Hivi ni kweli mmeelewa hicho mlicho.like?
Mkuu hujui watu wanabadilika kutokana na mazingira lugha inayolipa kwa sasa ni Ki-jep na Chines hasa kwenye sekta ya kitalii.
Watu tuna lugha saba kichwan....We washangaa.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…