Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
yani hapa nimeloa Jasho kwa woga. gari inakimbia ka karogwa. shiiiit.
yani hapa nimeloa Jasho kwa woga. gari inakimbia ka karogwa. shiiiit.
Usiombee upande ule ya 0420am, ni balaa, mm huwa napanda hiyo nikija kazini alfajiri.
dogoo sasa viabudu vinakutoa jasho je ukipanda matreni ya huku mambele siutajam...kitu kinaserereka maamae hadi ikikupita rangi huikumbuki ni laana chaliiyangu. Ukiona inavyokatiza hilo daraja kifaa kinabwaka kikiibuka maamae mpo stockholm. Kikizama tena na kichomoze mpo oslo. Kweli Mzungu hajakariri kasoma nakuelewa.yani hapa nimeloa Jasho kwa woga. gari inakimbia ka karogwa. shiiiit.
msaada jamani nikitaka ku quote post ya mtu nafanya vp..??
haya ndio madhara ya kuning'iniza pumbu. Fanyeni kazi jaman. Kazi haimuui mtu.msaada jamani nikitaka ku quote post ya mtu nafanya vp..??
kwani sisi donorsduh.. nipeni msaada sio lugha za matusi..
nimekusoma. Anzia mwanzo kabisa ya posti ya jamaa. Tuko pamoja dogookwa mfano nahitaji kumjibu mtu kile alopost.. nafanya vp ili kile alichopost kionekane juu ya jibu langu..
yani hapa nimeloa Jasho kwa woga. gari inakimbia ka karogwa. shiiiit.
itabidi umshutue modsmfano hapo mkuu copenhagen ulivyo fanya
kwa mfano nahitaji kumjibu mtu kile alopost.. nafanya vp ili kile alichopost kionekane juu ya jibu langu..
kwa mfano nahitaji kumjibu mtu kile alopost.. nafanya vp ili kile alichopost kionekane juu ya jibu langu..
msaada jamani nikitaka ku quote post ya mtu nafanya vp..??