Depreciation of tanzania shilling, are policy makers still asleep? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Depreciation of tanzania shilling, are policy makers still asleep?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndachuwa, Feb 2, 2012.

 1. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  What are policy makers (Government and BoT) doing to make our shilling stable?

  1. "If a factor increases the demand for domestic goods relatively to foreign goods, the domestic currency will appreciate; if a factor decreases the relative demand for domestic goods, the domestic currency will depreciate". Is there any positive initiative being done such as AGOA and like? What Ministry of Trade doing to address this?

  2. "In the long run, a rise in a Country's price level (relatively to the foreign price level) causes its currency to depreciate, and a fall in the country's relative price level causes its currency to appreciate". What is government doing to reduce rocketing of food prices?

  3. "Increasing trade barriers causes a country's currency to appreciate in the long run" Do we really need to continue importing sub-standard goods from china such as plastic shoes, artificial flowers, low quality electrical goods? What is the role of Ministry of Industry and SIDO in supporting small scale industries such as for shoes?

  4. "Increased demand for a country's exports causes its currency to appreciate in the long run; conversely, increased demand of imports causes the domestic currency to depreciate". When our leaders will show the way for example wearing suits made from Sungflag produce? Or Stocking their refirgerators with Dodoma wine instead of South Africa wine?

  5."In the long run, as the country becomes more productive relative to other countries, its currency appreciates". Has anybody linked the depreciation of our shilling to the effect of factories closed after being privatised?

  NB: Exchange rate May 2006 was TZS 1200 to USD; May 2015 TZS 2,000 to USD

  Source:Mishkin & Eakins, 7e
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Tanzania ifanye haraka tuunganishe sarafu za Afrika Mashariki, itasaidia sana, kwani hapa kwetu tuna wataalam uchwara wa uchumi, tunaviacha vichwa kama Lipumba kujiingiza na siasa na kuchukuliwa nje ya Tanzania kwenda kuwasaidia wengine huko.

  Hiki kichwa ndio kilitutoa kwenye lindi la umaskini alilotuingiza Nyerere. Yeye ndiye alikuwa mshauri wa uchumi wa Mwinyi, mwaka tu tuliona mabadiliko makubwa sana mpaka Nyerere akawa anaona wivu na kurusha madongo live.
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Sasa FF serekali ndio hiyo ya chama chako haitaki kuelezwa tufanyeje?
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Serikali inapokuwa madarakani hufanya kazi kwa ajili ya Watanzania wote na si kwa ajili ya fulani tu.

  Sisi tunapendekeza lakini na wao tuwape fursa ya kutazama waonavyo kwani wanayaona mengi ambayo hatuyaoni.
   
 5. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hicho hicho unachokisifu kuwa ndio kichwa ndio kilichomuingiza mkweree mkenge kwa kumwambia angemtafutia mtu makini wa kuchukua nafasi ya Balllali na ndio kumleta huyu Gavana wa BOT ambaye haelewi kitu gani kinaendelea kwenye uchumi wetu kwani shilingi imeishaanza kupoteza thamani tena!! Lipumba hana ubavu wa kwenda kuwashauri wamerekani ju ya uchumi kule amekwenda kusomeshwa maana ya demokrasia wanavyoielewa wamerekani!!
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hoja dhaifu, bila kuwa kichwa ataendelea kusoma? kama unavyotaka ieleweke?
   
 7. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kuunganisha nchi ze uchumi usiolingana kuna mathara makubwa kama ilivyotokea ulaya (EUROZONE) nchi zenye uchumi hafifu kama GREESE, IRELAND zimesababisha hata nchi kongwe kama Ujerumani kuyumba. Our policy makers need to do something to address our unique Tanzania problems
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Wataalamu wakifanya kazi ya vizuri na kuwasilisha kenye chama bado chama kitakubali tuu. Hivi hawa vijana wetu wanaomaliza vyuo vikuu wote wakipata kazi si chama kitajipongeza?
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  FF naomba unipenyezee hili bandiko langu kwa Dr Cyril Chami, majibu atakayokupa uje kubandika hapa
   
 10. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  You are dead wrong my dear, both in analysis and remedy.
  Kushuka thamani ya shillingi yetu ni matokeo ya uzalishaji duni wa mali as against public expenditure, few goods are being chased by a horde of bank notes!
  Matokeao yake bei zinapanda.
  Makosa ya serikali ni, badala ya ku-cut back on expenditure inaongeza fedha katika mzunguko-kwa ku-print noti nyigi zaidi kuendesha shughuli za serikali.
  Austerity lazima iendane na kuongeza juhudi zaidi za uzalishaji mali. Kwa kwetu hapa Tanzania hasa za mazao ya kilimo, kitu kinachoweza kuongeza thamani ya shilingi yetu, na kuongeza uwezo wa watu wengi zaidi nchini
  Kujiunga kwa papara katika East African Monetary Union itakuwa kifo kwa uchumi wa Tanzania kama kansa.
  Ni ajabu sana kuwa waTanzania wengi hawaelewi matokeo ya matatizo ya kiuchumi yalioikumba European Monetary Union.
  Nchi zenye uchumi dhaifu kama Ugiriki,Spain Portugal na hata Italy zinasalimu amri kwa mataifa yenye kifua kiuchumi kama Ujerumani.
  Money tends to flow towards the richer and economically stronger partners in any maonetary union, kufumba na kufumbua nchi itajikuta liquid capital yake yote imepotea, bila maelezo yanayokidhi haja.
  Tuheshimu ushauri makini wa kiuchumi kwa usalama wetu.
   
 11. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  As pointed earlier, a country's currency depreciate when imports are higher than exports. In simple economic principles, you need to have favourable balance of trade, that is your exports must exceed your imports.
   
 12. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  wacha kukariri na kuleta pambozp hapa....qasida tupu
   
 13. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Nilitegemea mada hii Inge attract thinkers wa ukweli, lakini thinkers wa JF would radher go gossiping!
   
 14. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mkuu hauko kwenye system ukatekeleza haya mawazo yako. We need another MKAPA immediately to contain our dying economy
   
 15. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Here you find many great thinkers of suspecious polical events
   
 16. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Principles za uchumi ni lazima zifuatwe ili kuokoa hali yetu mbaya.
  Kama alivyo comment Maospakyindi hapo juu, huwezi kula keki yako na bado ikawepo baada ya kuila!
  Sasa hivi Tanzania tunatumia fedha zaidi ya mapato yetu, na tunaishia kuwa na nakisi ya bajeti.
  Kweli enzi za MKAPA tulifunga vibwebwe na bei ya sukari ilidumu ile ile kwa miaka 10.
  Sasa tunashindwa nini?
   
 17. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2015
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mambo yamezidi kuharibika, May 2006 exchange rate ilikuwa TZS 1,200 leo mwezi wa tano ni TZS 2,000 wala hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na serikali wala Benki kuu; maskini mimi hapa ninapofanyia kazi mkataba wa kodi ni kwa Dollar sijui nitafunga ofisi:sad:
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2015
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hiyo si kwetu tu, ni Afrika Mashariki yote na nchi nyingi sana duniani.

  Kuna sababu zake na mpaka sasa sijaona hata mmoja aliokuja kuelezea hizo sababu.

  Hebu jisomee hapa:

  [h=1]Why the Dollar Dominates, and Why That's Not All Good[/h] [h=2]Lack of Rivals to Greenback Keeps It on Top-and Enables U.S.
  Government Dysfunction[/h]http://www.thedollartrap.com/why-the-dollar-dominates-and-why-thats-not-all-good/
   
 19. makolola

  makolola JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2015
  Joined: Sep 15, 2014
  Messages: 774
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 33
  kama linchi lenu lina uchumi mbovu ndio utake kwenda kuungana na wengine,uwadidimize kwa uchumi wako wa ovyo.wewe ni pepo au mtu? huyo kikwete unayempenda si ndio rais mwambie arekebishe.
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2015
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako huelewi kinachoendelea. Tanzania leo ni moja katika nchi zinazokuwa kiuchumi haraka sana duniani kuliko Kenya.
   
Loading...