Deo kibamba umenena!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Nimemsikiliza kibamba bbc ametoa hoja nzito sana. kwanza amemsifia sitta kwa uongozi mzuri bunge lililopita na akasema bila yeye wala bunge lisingekuwa imara. ameonyesha wasiwasi kama huyu mama ataweza. amewalaani vichama vidogo kama vi cuf, vi nccr na vi udp. amesema wanakosa upeo maana ikitokea uchaguzi ujao wakafanya vizuri vikawa tishio kwa ccm basi kanuni zitabadilishwa tena.
 
Back
Top Bottom