Denti anayedaiwa kubakwa na Kapuya huyu hapa

Mijittu imeumbuka,hahahahaahhahaaha honger sana shigongo umewaumbua hadi hao wadaku wa Tanzania Daima wanashindwa address mambo ya maana wanamchafua mtu baki kabsa tena kwa kumpa cheo chake cha zaman,kwa akili hzo kamwe magogoni mtakuwa mnaenda kunyw juic tuuuu
 
Leo katika hali ya kushangaza, nimepokea simu toka kwa binti wa Kapuya tena!
Ilivyotokea, Nilikuwa niimekaa natafakali mambo yangu Fulani, mala nikapigiwa simu na mtu nisiye mjua, nikamuulliza je wewe ni nani? Akaniambia anaitwa Ester, bahati mbaya kwa sauti alikuwa akiongea sikuweza kufahamu huyo Esta ni nani, kwahiyo nilijaribu kumsemesha kwa muda ili nipate kuwa naongea na mtu gani! Maswali ambayo nilikuwa nayapata ni ya ajabu, akamtaja mtu mmoja aliyekuwa akishirikiana nae wakati wa saga langu, akasema mimi ni Ester wa ----, hapo akili ikaanza kunijia kuwa ni Halima Humud, a.k.a wa clouds fm. Baada ya kumgundua akanitumia sms nilizoziona mitandaoni zikidhihirisha jinsi gani walikuwa wanawasiliana na J A Kapuya, lakini cha kusikitisha akaniandikia meseji kuwa mimi ni muongo na akazidi kunitumia sms toka kwa Kapuya kwenda kwake! Wana jamii ya Kitanzania, habu tulimalize hili suala na huyo mtoto, aliyedanganya jamii kuwa ana miaka kumina sita, amebakwa n.k. aende sehemu anayo stahili! Nimegundua kuwa huyo mototo ana ujasiri wa ajabu, habu fikliria mtu ulimsingizia kesi, off all cases , kesi ya kubaka, unakuwa na ujasiri kumpigia simu na kumkumbushia mkasa? Tanzania Daima, naomba kama mna weledi, wasilianeni na baadhi ya watuhumiwa kupitia binti huyo ili mretain credibility yenu! Nina meseji toka kwa huyo binti na mkitaka msaada here I am, wasilianeni na mimi na nipo tayari kuwasilisha aina yeyote ya ushahidi mtakao hitaji Nawasilisha.
 
mtoa thread sijakuelewa yani kifupi nn lengo la hii thread yani tuamini huyo mdada hajabakwa ama?
 
Kwani hili swala bado lipo au?

Huyo mtoto kapiga simu and sikutegemea kuwa alikeep namba yangu tangu miaka ya rate 90z, na kunitumia sms za Kapuya, hujaelewa nini, is just an continuation of the Kapuya saga!
 
mtoa thread sijakuelewa yani kifupi nn lengo la hii thread yani tuamini huyo mdada hajabakwa ama?

Nadhani yeye na baadhi ya watu mnataka kujustify kuwa kabakwa, i dont know, labda ni kweli lakini the same mtoto did to me 1999! Kama unataka kuamini is up to you!
 
Mkuu siku za mwizi ni 40. tumeyasikia mengi sana ya huyu mzee wa akudo toka miaka ilee! may be nt ubakaji lakini la uzinzi na mtoto je? la ngoma je? atoke public twende nae angaza akapimwe then aombe msamaha.

Leo katika hali ya kushangaza, nimepokea simu toka kwa binti wa Kapuya tena!
Ilivyotokea, Nilikuwa niimekaa natafakali mambo yangu Fulani, mala nikapigiwa simu na mtu nisiye mjua, nikamuulliza je wewe ni nani? Akaniambia anaitwa Ester, bahati mbaya kwa sauti alikuwa akiongea sikuweza kufahamu huyo Esta ni nani, kwahiyo nilijaribu kumsemesha kwa muda ili nipate kuwa naongea na mtu gani! Maswali ambayo nilikuwa nayapata ni ya ajabu, akamtaja mtu mmoja aliyekuwa akishirikiana nae wakati wa saga langu, akasema mimi ni Ester wa ----, hapo akili ikaanza kunijia kuwa ni Halima Humud, a.k.a wa clouds fm. Baada ya kumgundua akanitumia sms nilizoziona mitandaoni zikidhihirisha jinsi gani walikuwa wanawasiliana na J A Kapuya, lakini cha kusikitisha akaniandikia meseji kuwa mimi ni muongo na akazidi kunitumia sms toka kwa Kapuya kwenda kwake! Wana jamii ya Kitanzania, habu tulimalize hili suala na huyo mtoto, aliyedanganya jamii kuwa ana miaka kumina sita, amebakwa n.k. aende sehem
 
Hebu naomba niwe muwazi kwa kuwa kwenye thread yangu ya kwanza nilisema huyo binti mimi namjua zaidi kuliko most of you, Baada ya kunisingizia kesi mimi, akiwa mtoto mdogo, baadae alianza kutembea na fundi kinyozi fulani pale sinza, bahati mbaya huyo fundi kinyozi hatuko naye tena dunuiani kwa magonjwa mapya haya haya! Kuweni makini na kushabikia vitu jamani!
 
Huyo mtoto kapiga simu and sikutegemea kuwa alikeep namba yangu tangu miaka ya rate 90z, na kunitumia sms za Kapuya, hujaelewa nini, is just an continuation of the Kapuya saga!

Kuna binti wa Tanzania Daima na mwingine ni team GPL sasa sijui wako ni yupi mkuu?
 
Si Kapuya apelekwe polisi na binti na wapambe wake.

Yaani ningependa kweli hilo litokee na tujue kitu gani haswa kilichotokea, mimi nilimaliza mahakamani na the same mtoto! Masikini babu seya, kafungwa shahidi huyohuyo mtoto!
 
Kuna binti wa Tanzania Daima na mwingine ni team GPL sasa sijui wako ni yupi mkuu?

Hapana ni yule yule, ndio maana nimeandika hapa ili mjue, kanipigia simu! Ni yule Halima HUmud! Ukiwa na muda nitafute nikuonyeshe sms zake alizo nitumia just today!
 
Back
Top Bottom